ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 15,608
- 59,317
Hata usitake mkuuKama nimetaka kukuelewa vile?
Hata usitake mkuuKama nimetaka kukuelewa vile?
kah! hii computer scientist wanaita FirewallHata usitake mkuu
Hahahaaasahau, kubali kukosa kimoja hapo
Namna ulivyopresent kibabe inaonekana binti atalipwa na mshahara kila mwezi
😂😂😂Namna ulivyopresent kibabe inaonekana binti atalipwa na mshahara kila mwezi
Yaan asiibe vitu vya ndani kama vile tv? Kwa umri huo inamaana utakutana na mwanamke ambae amemaliza chuo hana kazi, kuibia vijisent sio mbaya umvumilie tu Huu uzi umenichekesha kweli nkawaza mleta mada analenga kukutana na mdada kutoka wap huyo.?Mwanifu maana yake nikimwacha home asisepe na mali za home
Umesahau kitu kimoja cha msingii sana..
Siku hizi haka katabia kamezuka Sana , yaani wanawake wengi siku hizi wamekua na tabia ya kuondoka na vitu vya nyumbani ,Mwanifu maana yake nikimwacha home asisepe na mali za home
yes mara nyingi wajuvi kitandani huwa ni wale mademu wa uswazi ambao walianza ucharuko mapema tangu wakiwa na miaka 12 na shule hata darasa la 7 kumaliza ni bahati nasibu.Mhh, sio kwa vigezo hv...
Kama ni fubdi kitandani(mkataji mauno) uaminifu hyo anautoa wapi maana ukimuona mtu anayaweza hayo basi ujue ni mjuvi wa mji/mambo