Natafuta binti wa kumuhonga gari

Natafuta binti wa kumuhonga gari

Gari yenyewe ndio hiii?
nzuri sana kwa parking za DSM
Naomba niwe mpiga picha wakati wa makabidhiano ya haka kamotokaa

WeirdCar_1.jpg
 
Mzee hawa madada wa siku hizi wana machale wanasubiri useme utampa na kadi ya gari au unampa gari aendeshe kwa jina lako teh teh teh
 
kama BAHATI ndo hii ishanidondokea hebu limuvuzishe kwangu hilo gari kwani ni aina gani ya gari ni vitz, velossa, au rav4 , toyota gypsum? au mkokoteni bachelor?
Nina gari kali sana, naona sina la kufanya zaidi ya kumtunuku mrembo.
Ningewapa wazazi wangu kijijini, lakini kijijini kwetu kwa uchawi ni balaa.
Ukiwa na nyumba ya bati, lazima mpukutike ukoo mzima.
Gari linaniwasha kutoa zawadi, nami wa kumpa sijampata.
Kupitia jukwaa hili naomba mrembo mmoja ajitokeze nimtunuku.
Umri kuanzia miaka 18, umbile lolote, elimu haijalishi, dini yeyote, rangi yeyote.
Karibuni sana mabinti
 
Eeeeeiiish! Bora baisikele kwa kweli mmmmmxxxxxiuuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom