Natafuta binti Salaf wa kuoa

Natafuta binti Salaf wa kuoa

bin awf

Member
Joined
Aug 10, 2025
Posts
19
Reaction score
43
NATAFUTA BINTI WA KUOA.

Email yangu
natafutamke872@gmail.com

Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi

Urefu: 158 cm

Umri: 30

Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa.

Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani.

Elimu ya Dini: Najifunza na naendelea kujifunza masomo ya kidini, pia nimehifadhi sehemu ktk Qur’ān.

MIONGONI MWA SIFA NINAZOTAKA KWA MWENZA

Muislamah anayefuata manhaj ya Salaf, mwenye maadili na tabia njema, stara, na mcha Mungu.

Mwenye mapenzi ya dhati na atayeweza kudumisha upendo ndani ya ndoa.

Awe na tabia ya uwazi na ukweli.

Umri: kuanzia miaka 18 hadi 26. Nje ya range tunaweza pia kuzungumza

Elimu: angalau kiwango cha kidato cha nne au zaidi. Mimi nimezid zaid ya hapo.

Urefu: sawa na wangu au chini kidogo, au juu yangu kama atapenda.

Mwonekano: Mrembo, mwenye umbo zuri(shape), rangi ya ngozi maji ya kunde au mweupe.

Anayejitahidi kuheshimu mipaka ya kisheria.

Ikiwa ana mtoto, basi awe ni mjane (mume alifariki dunia).

Mtu mwenye mawazo chanya, anayependa mashauriano ili changamoto zitatuliwe kwa njia bora.

Maelekezo ya Mawasiliano:
Atakayevutiwa na wasifu huu awashirikishe watu wa nyumbani kwake (walii/wake) ili tufanye mawasiliano kwa uwazi na staha.

Na anitumie wasifu wake pia kwa njia ya email.

elimu dunia yako ikoje sheikh?
Umeruka hicho kipengele,ili wakujue zaidii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom