Natafuta binti mwenye nia ya kuolewa

Porini huwa kuna ofisi mkuu, hayo maeneo nayafahamu sana. Aache ujinga atafute mke wa maana badala ya hawa wanaoshinda kwenye FB.
Shida kijijini hakuna wanawake/Wadada wa kumenya yeye anataka wa kumenya
 
Mkuu nakushauri uongeze kakigezo kamoja ka muhimu sana nako kanasema
Awe tayari kwa majaribio ya ingini,
Manake unaweza kupata mtu wa vigezo vyako ila huko kwa bibi akawa na rambo halafu wewe una muwa hapo utapwaya tu mkuu na ndoa haitakuwepo tena .
 
Mimi ni kijana mwenye mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc Forestry). Binti Huyo awe na sifa zifuatazo : awe na Miaka isiyozidi 25 na isipungue 22, Elimu yake awe na Kuanzia Asta shahada (Certificate) na isizidi Shahada (Degree). Awe na kipato chake au mjasiliamali, Asiwe Muislam, msabato au mlokole. Niko serious kupata Mwenza wangu ili tupambane na Maisha. Ahsanteni.
kuna jukwaa LA love connect hapa si mahala pake
 
Andika bango kubwa, lishikilie usimame nalo Posta Mpya mida ya saa kumi hadi saa moja utapata application za kutosha.
 
Mimi ni kijana mwenye mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc Forestry). Binti huyo awe na sifa zifuatazo; awe na miaka isiyozidi 25 na isipungue 22, Elimu yake awe na kuanzia Asta shahada (Certificate) na isizidi Shahada (Degree). Awe na kipato chake au mjasiriamali, asiwe Muislam, Msabato au Mlokole.

Niko serious kupata Mwenza wangu ili tupambane na Maisha.

Ahsanteni.
nipo tyr 0744535746
 
Huna lolote hiyo degree yako peleka kijijini kwenu.kwanza unaonekana una njaa so unatafuta unafuu kwa ndoa
 
Andika bango kubwa, lishikilie usimame nalo Posta Mpya mida ya saa kumi hadi saa moja utapata application za kutosha.
Acha ujingaaa..Yupo mahali sahihi.Na atapata.Sio lazima ukashifu kila kitu
 
Kuna binti mmoja, ni mzuri. Umbo, rangi ya kati, ni msikivu, mvumilivu, mwongeaji sana na ana ajira, ila ni muislam. Nilimshawishi mpaka akakubali kubadili dini anifuate. Ila kabla hatujaendelea nikakutana na binti ambaye ilinilazimu nibadilishe maamuzi.
Mpaka sasa huyo muislam yupo free 23yrs, kama vipi naweza kukuconect.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom