EDIGAR JO JF-Expert Member Joined May 6, 2024 Posts 592 Reaction score 595 Apr 28, 2025 #1 LEO ULIJUE HILI Tofauti Sahihi (Kibiashara): 1. New Phone (Mpya Kabisa) Haijawahi kutumika. Imefungwa (sealed) moja kwa moja kutoka kiwandani. Inakuja na warranty ya kiwandani. Hii ndiyo aina ya juu zaidi na bei kubwa zaidi. 2. Refurbished (Referb) Simu iliyowahi kutumika (labda ilikuwa na tatizo au imerudishwa na mteja). Imefanyiwa ukarabati wa kitaalamu na kupimwa tena. Inaonekana kama mpya, lakini sio mpya kabisa. Mara nyingi huuzwa kwa bei ya chini, inaweza kuja kwenye box au bila. 3. Boxed Phone Hii ni simu iliyowahi kutumika kidogo, halafu ikawekewa box jipya, mara nyingine inafanana kabisa na mpya. Inaweza isiwe refurbished rasmi, lakini ni used phone iliyowekwa kwenye box kama mpya. Haina warranty ya kiwandani, ila muuzaji anaweza kutoa ya kwake. Ina muonekano wa "brand new", lakini ndani ni "slightly used". Kwa hiyo: Refurb = Used + Repaired professionally. Boxed = Used (but clean) + Reboxed to look new. New = Haijawahi kutumika hata sekunde moja.
LEO ULIJUE HILI Tofauti Sahihi (Kibiashara): 1. New Phone (Mpya Kabisa) Haijawahi kutumika. Imefungwa (sealed) moja kwa moja kutoka kiwandani. Inakuja na warranty ya kiwandani. Hii ndiyo aina ya juu zaidi na bei kubwa zaidi. 2. Refurbished (Referb) Simu iliyowahi kutumika (labda ilikuwa na tatizo au imerudishwa na mteja). Imefanyiwa ukarabati wa kitaalamu na kupimwa tena. Inaonekana kama mpya, lakini sio mpya kabisa. Mara nyingi huuzwa kwa bei ya chini, inaweza kuja kwenye box au bila. 3. Boxed Phone Hii ni simu iliyowahi kutumika kidogo, halafu ikawekewa box jipya, mara nyingine inafanana kabisa na mpya. Inaweza isiwe refurbished rasmi, lakini ni used phone iliyowekwa kwenye box kama mpya. Haina warranty ya kiwandani, ila muuzaji anaweza kutoa ya kwake. Ina muonekano wa "brand new", lakini ndani ni "slightly used". Kwa hiyo: Refurb = Used + Repaired professionally. Boxed = Used (but clean) + Reboxed to look new. New = Haijawahi kutumika hata sekunde moja.
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 16,215 Reaction score 51,575 Apr 28, 2025 #2 Soma acha umalaya
EDIGAR JO JF-Expert Member Joined May 6, 2024 Posts 592 Reaction score 595 Apr 28, 2025 Thread starter #3 Red black said: Soma acha umalaya Click to expand... Mbona unakuwa mkorofi !!🥺
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,343 Reaction score 96,992 Apr 28, 2025 #4 Haya yote kayataka Mwijaku
EDIGAR JO JF-Expert Member Joined May 6, 2024 Posts 592 Reaction score 595 Apr 28, 2025 Thread starter #5 Joanah said: Haya yote kayataka Mwijaku Click to expand... Bora umenena 😂🤣
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,792 Reaction score 33,531 Apr 28, 2025 #6 Kichaa cha boom. Ngoja likate.
EDIGAR JO JF-Expert Member Joined May 6, 2024 Posts 592 Reaction score 595 Apr 28, 2025 Thread starter #7 Chuo wachumbii wameisha
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 51,704 Reaction score 124,798 Apr 28, 2025 #8 EDIGAR JO said: .Nipo natafuta binti anaye jielewa Click to expand... Aisee
EDIGAR JO JF-Expert Member Joined May 6, 2024 Posts 592 Reaction score 595 Apr 28, 2025 Thread starter #9 magnifico said: Kichaa cha boom. Ngoja likate. Click to expand... Uzuri sasahivi ni mwishoni mwa boom la kwanza 😂 sijui sasa ni biom gani ???
magnifico said: Kichaa cha boom. Ngoja likate. Click to expand... Uzuri sasahivi ni mwishoni mwa boom la kwanza 😂 sijui sasa ni biom gani ???
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 39,911 Reaction score 61,649 Apr 28, 2025 #10 Kila binti ana wachumba sita
M Mister mimi JF-Expert Member Joined Apr 29, 2018 Posts 335 Reaction score 620 Apr 28, 2025 #11 EDIGAR JO said: Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 24 nipo nimepanga UBUNGO KIBO na pia nipo chuo ( ...).Nipo natafuta binti anaye jielewa .0769927039 Click to expand... Huko uliko hakuna au huwaoni mabinti mpaka uje utafute huku mafichoni?
EDIGAR JO said: Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 24 nipo nimepanga UBUNGO KIBO na pia nipo chuo ( ...).Nipo natafuta binti anaye jielewa .0769927039 Click to expand... Huko uliko hakuna au huwaoni mabinti mpaka uje utafute huku mafichoni?
EDIGAR JO JF-Expert Member Joined May 6, 2024 Posts 592 Reaction score 595 Apr 28, 2025 Thread starter #12 HAYA KUMBE MNAONAGA TU MABANGO YANGU NA MNANICHORA SIO !!!😂🤣 HIBU NAOMBA MCHANGO WENU HAPO CHINI 🏠PHONEHOMETZ 2025 🇦🇪SAMSUNG CLEAN STOCK 📌S SERIES✅ CLEAN NO DOT -S8 64gb 290,000/= -S9 64gb 320,000/= -S9+ 64gb 330,000/= -S10e 128gb 350,000/= -S10 128gb 395,000/= -S10+ 128gb 495,000/= -S21 5g 128gb 520,000/= -S21 ultra 128GB 770,000/= (edged screen )📦 -A41 64GB 250,000/= -A21 64GB 195,000 📌QUANTITY STOCK AVAILABLE 👍 0769927039 📍INFINIX TOWER OFFICE 1 📍DUBAI PLAZA OFFICE 2
HAYA KUMBE MNAONAGA TU MABANGO YANGU NA MNANICHORA SIO !!!😂🤣 HIBU NAOMBA MCHANGO WENU HAPO CHINI 🏠PHONEHOMETZ 2025 🇦🇪SAMSUNG CLEAN STOCK 📌S SERIES✅ CLEAN NO DOT -S8 64gb 290,000/= -S9 64gb 320,000/= -S9+ 64gb 330,000/= -S10e 128gb 350,000/= -S10 128gb 395,000/= -S10+ 128gb 495,000/= -S21 5g 128gb 520,000/= -S21 ultra 128GB 770,000/= (edged screen )📦 -A41 64GB 250,000/= -A21 64GB 195,000 📌QUANTITY STOCK AVAILABLE 👍 0769927039 📍INFINIX TOWER OFFICE 1 📍DUBAI PLAZA OFFICE 2
EDIGAR JO JF-Expert Member Joined May 6, 2024 Posts 592 Reaction score 595 Apr 28, 2025 Thread starter #13 Mister mimi said: Huko uliko hakuna au huwaoni mabinti mpaka uje utafute huku mafichoni? Click to expand... Kaka ashakwambia kila 1 ana 6😂🤣 mimi nitaweza ???
Mister mimi said: Huko uliko hakuna au huwaoni mabinti mpaka uje utafute huku mafichoni? Click to expand... Kaka ashakwambia kila 1 ana 6😂🤣 mimi nitaweza ???
MoroGent Senior Member Joined Jan 10, 2018 Posts 149 Reaction score 472 Apr 28, 2025 #14 Dar napo ni kwa kutafuta madem😀 embu sogea apo Riverside wachuchu wamejaa ni Shaz
sheremaya JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 4,925 Reaction score 12,432 Apr 28, 2025 #15 😂😂😂pole kwa upweke mkuu
EDIGAR JO JF-Expert Member Joined May 6, 2024 Posts 592 Reaction score 595 Apr 28, 2025 Thread starter #16 MoroGent said: Dar napo ni kwa kutafuta madem😀 embu sogea apo Riverside wachuchu wamejaa ni Shaz Click to expand... NIUNGISHE KWANZA SIMU KAKA AU PC kaka naenda 😂🤣
MoroGent said: Dar napo ni kwa kutafuta madem😀 embu sogea apo Riverside wachuchu wamejaa ni Shaz Click to expand... NIUNGISHE KWANZA SIMU KAKA AU PC kaka naenda 😂🤣
Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,510 Reaction score 8,011 Apr 28, 2025 #17 pale unapokua desperate..... usijali utavuka hio hali
EDIGAR JO JF-Expert Member Joined May 6, 2024 Posts 592 Reaction score 595 Apr 28, 2025 Thread starter #18 Mama Mwana said: pale unapokua desperate..... usijali utavuka hio hali Click to expand... Siku mkisikia nimebaka msishangae maana hamtaki kuniungisha na wala hamtaki nipate binti 😂 hivi sasa naishije ???
Mama Mwana said: pale unapokua desperate..... usijali utavuka hio hali Click to expand... Siku mkisikia nimebaka msishangae maana hamtaki kuniungisha na wala hamtaki nipate binti 😂 hivi sasa naishije ???
MoroGent Senior Member Joined Jan 10, 2018 Posts 149 Reaction score 472 Apr 28, 2025 #19 We ni msenge😀 sasa si ungetangaza biashara ya PC kuliko kuandika upuuz, Aya lete sifa za computer zako ambazo budget inarange 180k to 250k
We ni msenge😀 sasa si ungetangaza biashara ya PC kuliko kuandika upuuz, Aya lete sifa za computer zako ambazo budget inarange 180k to 250k
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,436 Reaction score 92,227 Apr 28, 2025 #20 Kwahiyo umetuita kijanja 🤣🤣🤣🤣