Natafuta battery ya simu ya sasatel

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Jamani nasikia eti sasatel imefilisika?
Natafuta battery ya simu waliyoniuzia nitaipata wapi?
Naomba wana jamii forums mnisaidie kupata battery simu yangu haifanyi kazi hata kwa masaa matatu niki charge
asanteni
 
Sasatel wana mobile device mbalimbali wewe unazungumzia simu gani? Zipo na wireless deskphone pia, nakushauri kuweka model ili kupata suluhisho la tatizo lako.
 
sasatel wana mobile device mbalimbali wewe unazungumzia simu gani? Zipo na wireless deskphone pia, nakushauri kuweka model ili kupata suluhisho la tatizo lako.

ok nilisahau kuweka aina ya simu yangu ni zile za mezani yaani wire less
samahani na naomba msaada wako
mama yako
 
Sina hakika kama sasatel wamekufa kabisa maana naona baadhi ya ofisi zao zipo wazi bado. Nakushauri uchomoe hiyo battery uende nayo pale KVD Shop posta (indira gandhi street) wanaweza kukupatia au kukufanyua modification ya battery nyingine lakini vipimo sawa
 
Asante sana nitafanya hivyo maana nina shida haikai niki chage siku chache imekwisha
BARIKIWA NA BWANA NITAKWEDA INDIRA GANDHI MTAA SOON
 
Au kama unaishi sinza pale kijiweni kwenye kona ya kuelekea tandale ..
Opposite shelly zipo ofis zao
 
Back
Top Bottom