Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,604
- 1,704
Ndugu Wadau wa elimu naomba nakala ya elektroniki ya Takwimu hizo ambazo zimekwishatoka. Kwenye mtandao huu wa Wizara ya Elimu zipo za mwaka 2008 na miaka ya nyuma tu: http://www.moe.go.tz/statistics.html