Nasema; Kweli weye ni jasiri mno. La kufanya, tulia mpaka wakati wa kujifungua, awe mtoto aonekane. Jinsia si hoja, unikubalie anyonye mwezi mmoja tu, amtunzo ya maziwa ntakupa, unipe mtoi nisepe bora tu uniandikie kutofuatana. Mtoto mali jamani, wapo wanaolilia angalao mimba ishike mwezi tu itoke ahesabiwe aliwahi kukisikia kiumbe tumboni. Ni PM nikupe namba yangu na sitaki kukujua hata sura yako nitataka tu uhakika wa ujauzito na siku umejifungua. Mipango mingine ni PM tuelekezane