Wakuu kila nikiiangalia hii movie(animated),naiona mpya kila wakati.Hakika kazi ilifanyika katika movie hii. Ombi langu kwenu marafiki,naomba kama kuna animated movie yoyote iliyo katika level ya RANGO au zaidi mzitaje ili nami pamoja na wengine tuweze kujipatia copy zetu pia.Akhsanteni.
1. Pussy In Boots
2. Kung Fu Panda [part 1 n 2]
3. Rio
4. Ratatoule
5. Madagascar; Europe Most Wanted
6. Despicable 2 ZENITH anza na hizo kwanza, naamini hutojuta kuziangalia.
Hii muvi ya rango acha kabisa...mi mwenyewe huwa siichoki na kama alivyoorodhesha sembo hapo juu hizo nazo ni nzuri sana unaweza kuongezea na Lion King(zipo part 3)