Tobito
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,302
- 4,141
Namtafuta mtu au kampun ya kunisaidia kuagiza kitu ninachokuwa nimeona online kama ebay au amazon. Kuwepo na mazingira rafik kuwa sitapoteza pesa yangu. Maana kuna vitu nahitaj na mbaya zaidi nakuta muuzaji eti hakusafirishii. Bado na kufungua hizo akaunt naona mlolongo.