mbona jina langu ni poa sana hivi kwani hujawahi kuwashwa na Washawasha,?Pole halimbaya, natumaini utapata adapter. Majina mengine yanasababisha matatizo kama Masumbuko, halimbaya, Wasiwasi, Washawasha, KakaJambazi, Shida, Asprin, Chagueni majina yenye neema kama Mtumpole, Baraka, Neema, Upendo nk.