Wewe ni binti,Msichana au Mwanamke??!!
Kongosho hivi haya Mambo kumbe bado yapo? urafiki wa kalamu na s.l.p huna unatumia care off.
aisee, nna p.o box nalilipia bure tu na sipati barua mwaka mzima. Unaonaje tukawa marafiki wa kalamu?
Mimi nataka Urafiki wa nyama kwa nyama. wa karamu ninao wengi facebook.aisee, nna p.o box nalilipia bure tu na sipati barua mwaka mzima. Unaonaje tukawa marafiki wa kalamu?
Mimi nataka Urafiki wa nyama kwa nyama. wa karamu ninao wengi facebook.
u-job hopper nao kazi! Au saa zingine una kimeo chako magumashi afu wajuba wanaona mamihuri ya afghanistan. Ndo mwanzo wa kuundiwa tume. Ila p.o box inabidi nimpe hgelo funguo kila nikimlipa mshahara akaangalie barua. Manake nachoka, sipati hata moja.SLP kwa sasa muhimu sababu ya mambo ya kiofisi na utu uzima
Mambo ya kutumia anuani ya kampuni labda hata mwaka hauishi ushahama
NiPM basi nikutumia kadi ya xmass