natafu rafiki wa email

jaribu pia kutembelea interpals.net watanzania wengi sana kule
 
Kanikumbisha mbali kweli

Enzi zile tunatuma barua kwa zile karatasi za blue, afu hiyo hiyo ndio bahasha

Sie kwetu tulikuwa tunatumia SLP ya shule ya msingi

Kongosho hivi haya Mambo kumbe bado yapo? urafiki wa kalamu na s.l.p huna unatumia care off.
 
SLP kwa sasa muhimu sababu ya mambo ya kiofisi na utu uzima
Mambo ya kutumia anuani ya kampuni labda hata mwaka hauishi ushahama

NiPM basi nikutumia kadi ya xmass
aisee, nna p.o box nalilipia bure tu na sipati barua mwaka mzima. Unaonaje tukawa marafiki wa kalamu?
 
SLP kwa sasa muhimu sababu ya mambo ya kiofisi na utu uzima
Mambo ya kutumia anuani ya kampuni labda hata mwaka hauishi ushahama

NiPM basi nikutumia kadi ya xmass
u-job hopper nao kazi! Au saa zingine una kimeo chako magumashi afu wajuba wanaona mamihuri ya afghanistan. Ndo mwanzo wa kuundiwa tume. Ila p.o box inabidi nimpe hgelo funguo kila nikimlipa mshahara akaangalie barua. Manake nachoka, sipati hata moja.
 
Ndugu anza na hizo email zilizotolewa then as u move utapata nyingi
 
Back
Top Bottom