natafu rafiki wa email

He he he, hii mambo ya kuletewa barua na mwingine ina gharama zake

Mie baba aliwahi niletea barua, nadhani njia nzima alikuwa anatamani kuisoma
Enzi hizo niko high school, kivulana kimetuma kadi ya xmass

u-job hopper nao kazi! Au saa zingine una kimeo chako magumashi afu wajuba wanaona mamihuri ya afghanistan. Ndo mwanzo wa kuundiwa tume. Ila p.o box inabidi nimpe hgelo funguo kila nikimlipa mshahara akaangalie barua. Manake nachoka, sipati hata moja.
 
He he he, hii mambo ya kuletewa barua na mwingine ina gharama zake

Mie baba aliwahi niletea barua, nadhani njia nzima alikuwa anatamani kuisoma
Enzi hizo niko high school, kivulana kimetuma kadi ya xmass
Unanikumbusha enzi za Secondary School tukiwa Assemble basi wanaanza kuitwa majina waliotumiwa barua na ndugu zao, mimi hola!! aisee ilikuwa inauma sana unajiona kama kitu gani sijui.
 
Yote tisa, kumi jina langu lilikuwa likotokea kwenye T.M.O naskia kama kupaa

Afu kuna siku nilipata kadi ya kuuuubwa ya 'I kopa U' mbona nilitambika

Back
Top Bottom