Natafuta kazi iwe ya duka, usafi na yoyote halali Arusha

lramba

Member
May 24, 2023
7
9
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 36 natafuta kazi yoyote halali mkoani Arusha.

Nina cheti cha hoteli na pia nina uzoefu wa mwaka mmoja katika kazi ya House keeping na upishi wa pizza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom