Natafuta kazi halali mkoani Arusha

Natafuta kazi halali mkoani Arusha

lramba

Member
Joined
May 24, 2023
Posts
51
Reaction score
57
Habari mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 36 nina cheti cha Hotel na nina uzoefu wa kazi house keeping kwa mwaka mmoja na upishi wa Pizza, bagga na aina zote za juice fresh.

Nina tafuta kazi yoyote halali kama dukani, usafi wa ofisi, kiwandani sheli katika mkoa wa Arusha. Nitashukuru nikifanikiwa katika hili
 
Utapata tu dada.Kiwandani kajaribu AtoZ na kwa hotel jarbu kwenda sehem husika kuomba.
 
Habari mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 36 nina cheti cha Hotel na nina uzoefu wa kazi house keeping kwa mwaka mmoja na upishi wa Pizza, bagga na aina zote za juice fresh.

Nina tafuta kazi yoyote halali kama dukani, usafi wa ofisi, kiwandani sheli katika mkoa wa Arusha. Nitashukuru nikifanikiwa katika hili
Nenda mererani kila kitu halali,hata uchimbaji ni halali🏃
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom