Natafakari tu kuhusu nyumba ya marehemu

Natafakari tu kuhusu nyumba ya marehemu

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,494
unnamed (1).jpg
 
ndo nakushangaa unashangaa nyumba ya mwenaume unadhani kila mtz ni mwizi kama ccm? wengi ni wazalendo ccm pekee ndo wezi
Uzalendo au hajapata fursa ya kupiga? Tuacheni unafiki jamani...
 
Daaah! so sad! na hii inatokana na michango isiyoisha kwenye chama mwisho wa siku amekosa hata kujenga nyumba yake mwenyekiti Mungu anakuona.
Kwanini kuna nyuma zilizozibwa au udongo hapo alipojenga si mzuri kwa kujenga nyumba.
 
Wengi huwa tunasahau kuboresha mazingira ya kijijini tunapotoka ,tunasahau kuwa ipo siku tutarudi huko tukiwa hai au wafu mkuu
 
Back
Top Bottom