Natafakari tu kuhusu nyumba ya marehemu

Natafakari tu kuhusu nyumba ya marehemu

Wengi huwa tunasahau kuboresha mazingira ya kijijini tunapotoka ,tunasahau kuwa ipo siku tutarudi huko tukiwa hai au wafu mkuu
Kabisa kabisa ni wachache sana wamefanya kujenga vizuri kwao....ukiwauliza kwanini....wengi wanasema wanaogopa uchawi kijijini
 
Back
Top Bottom