Natabiri Yanga vs Mamelod kukosa watazamaji uwanja wa Mkapa

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
384
2,525
Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe.

Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja na visingizio kibao na lawama kwa uongozi.

Daima mbele nyuma mwiko.
 
1 Yohana 4:7, 8
Wapenzi, na mpendane; kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu, na kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu. Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo.
 
Upo Sawa, nakubaliana nawe Asilimia 100. Umetabiri Sawa Kbs....!

Labda Itokee GSM atoe ofa kwa Mashabiki awalipie Yeye Waingie Bure..!!

Bado tatizo la Wana Yanga kushindwa kujaza uwanja ni kizingumkuti...!
Ni tatizo mno na kutoa tiketi bure ndio linazidi kuwa sugu.
 
Inawezekana Yanga wasi ujaze uwanja lakini kwa mujibu wa Tff, Yanga ndio klabu inayo shikiria rekodi ya kuingiza mashabiki wengi viwanjani wakati timu yao inacheza.
Unakua mpumbavu..kwamba utopolo hamjazi uwanja halafu hapo.hapo mnajinasibu kushikilia rekodi ya kuingiza mashabiki wengi..hii akili matope...
Semeni.ukwel tu mashabik.wengi aina yako ambao ndio mko wengi ni WALALAHOI, MAKAPUKU, kelele na porojo mnaziweza kwenye vijiwe tena hapo mmekaa.juani hata hamjui kula yenu huku mnamtukana Clotus Chama anayepokea milioni 40 kwa mwezi kama mshahara huku mkimpapatikia Pakuma zuazua ambaye maskin ya Mungu hata elfu mbili hajawahi kuwapa, kununua jezi hamuwezi, kadi ya uwanachsma.hamna, yani ni USELESS FANS...
 
Mbona umetokwa na povu
Nawakati ni ukweli mashabiki wa Yanga wanamahudhurio mazuri kwenye mechi zote kabla uwanja haujavunjwa

Mfano angalia msimu wa 2020/2021
CA357D15-36C5-42DC-B03C-26F52ECDF119.png
 
Unakua mpumbavu..kwamba utopolo hamjazi uwanja halafu hapo.hapo mnajinasibu kushikilia rekodi ya kuingiza mashabiki wengi..hii akili matope...
Semeni.ukwel tu mashabik.wengi aina yako ambao ndio mko wengi ni WALALAHOI, MAKAPUKU, kelele na porojo mnaziweza kwenye vijiwe tena hapo mmekaa.juani hata hamjui kula yenu huku mnamtukana Clotus Chama anayepokea milioni 40 kwa mwezi kama mshahara huku mkimpapatikia Pakuma zuazua ambaye maskin ya Mungu hata elfu mbili hajawahi kuwapa, kununua jezi hamuwezi, kadi ya uwanachsma.hamna, yani ni USELESS FANS...
Mkuu kunywa maji baridi uhawi Shabiby bus ikufikishe Mirembe chap kabla hakijazidi.
 
Unakua mpumbavu..kwamba utopolo hamjazi uwanja halafu hapo.hapo mnajinasibu kushikilia rekodi ya kuingiza mashabiki wengi..hii akili matope...
Semeni.ukwel tu mashabik.wengi aina yako ambao ndio mko wengi ni WALALAHOI, MAKAPUKU, kelele na porojo mnaziweza kwenye vijiwe tena hapo mmekaa.juani hata hamjui kula yenu huku mnamtukana Clotus Chama anayepokea milioni 40 kwa mwezi kama mshahara huku mkimpapatikia Pakuma zuazua ambaye maskin ya Mungu hata elfu mbili hajawahi kuwapa, kununua jezi hamuwezi, kadi ya uwanachsma.hamna, yani ni USELESS FANS...
Umemaliza
 
Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe.

Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja na visingizio kibao na lawama kwa uongozi.

Daima mbele nyuma mwiko.
Yupo watazsmaji hadi wakusaza😅
 
Ukiona Watu Siku ya Mechi za Yanga Wanazurura zurura nje pale Lupaso bila mpango hovyo hovyo ujue ni Utopolo hao Hawana Viingilio..!

Wanasubiri ' Fungulia Umbwa'...
 
Back
Top Bottom