Heeeee.... Wewe ni mzimu au zimwi?Mimi siyo mganga kama MziziMkavu au Mshana Jr , mimi sina kinyongo kama Kitimoto pia mimi nipo timamu kabisa sina mizengwe kama Dj DON NALIMISON wala mimi siyo intelijensia kama @infatry soldier
Natabiri yafuatayo;
Kwenye hii miezi mitatu yaani watisa, kumi na kumi na moja yafuatayo yatatokea.
1- Ongezeko la ID nyingi zitakazo Kuwa na mlengo wa kuishambulia JamiiForums pamoja na serikali.
2- Kuna member aliye potea jukwaa zaidi ya miaka 5 na si chini ya miaka 3 ataonekana jukwaani.
3- Kuna member maarufu sana humu jukwaani atapata life band(Permanent ban)
4- Ongezeko la Temporary ban kwa member wengine (Zaidi ni Member maarufu)
5- Viongozi wa ngazi za juu serikalini watakuwa kwa ID fake.
Hayo ni baadhi, hivyo nitaendelea kuwajuza.
Mimi ni mtu kutoka kuzimu, karibuni kuzimuni 🗿
The return of 🗽Dead Man
Mimi siyo mganga kama MziziMkavu au Mshana Jr , mimi sina kinyongo kama Kitimoto pia mimi nipo timamu kabisa sina mizengwe kama Dj DON NALIMISON wala mimi siyo intelijensia kama Infantry Soldier
Natabiri yafuatayo;
Kwenye hii miezi mitatu yaani watisa, kumi na kumi na moja yafuatayo yatatokea.
1- Ongezeko la ID nyingi zitakazo Kuwa na mlengo wa kuishambulia JamiiForums pamoja na serikali.
2- Kuna member aliye potea jukwaa zaidi ya miaka 5 na si chini ya miaka 3 ataonekana jukwaani.
3- Kuna member maarufu sana humu jukwaani atapata life band(Permanent ban)
4- Ongezeko la Temporary ban kwa member wengine (Zaidi ni Member maarufu)
5- Viongozi wa ngazi za juu serikalini watakuwa kwa ID fake.
Hayo ni baadhi, hivyo nitaendelea kuwajuza.
Mimi ni mtu kutoka kuzimu, karibuni kuzimuni [emoji622]
The return of [emoji562]Dead Man
Ikitokea kweli mwakani ikawa 2022 nitaamini wewe mchawiMe natabiri mwakani ni mwaka 2022
🤣🤣🤣Ikitokea kweli mwakani ikawa 2022 nitaamini wewe mchawi
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
🏃🏃🏃Ikitokea kweli mwakani ikawa 2022 nitaamini wewe mchawi
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
😀😀😀😀Me natabiri mwakani ni mwaka 2022
Huyu ni rev. Masanilo2- Kuna member aliye potea jukwaa zaidi ya miaka 3 na si chini ya miaka 2 ataonekana jukwaani.
Huyu ni Mnyarwanda, Simba lialia3- Kuna member maarufu sana humu jukwaani atapata life ban(Permanent ban)
Umaarufu wa member unapimwa kwa kipimo gani?4- Ongezeko la Temporary ban kwa member wengine (Zaidi ni Member maarufu)
Utambulisho Feki ndio JamiiForums yenyewe. Vijana hamkumbuki na wala hamkijui kilichotupata enzi za JAMBOFORUMS5- Viongozi wa ngazi za juu serikalini watakuwa kwa ID fake.
KUZIMU KUNA MIZIMU NA MAZIMWI, ASANTE?Hayo ni baadhi, hivyo nitaendelea kuwajuza.
Mimi ni mtu kutoka kuzimu, karibuni kuzimuni 🗿
The return of 🗽Dead Man
Bujibuji member maarufu anapimwa kwa idadi ya jumbe, trophies, reaction scores na kuwa mentioned sana kama ulivyo weweHuyu ni rev. Masanilo
Huyu ni Mnyarwanda, Simba lialia
Umaarufu wa member unapimwa kwa kipimo gani?
Utambulisho Feki ndio JamiiForums yenyewe. Vijana hamkumbuki na wala hamkijui kilichotupata enzi za JAMBOFORUMS
KUZIMU KUNA MIZIMU NA MAZIMWI, ASANTE?
Habari mkuu, Jamboforums kiliwakuta nini?Huyu ni rev. Masanilo