Natabiri Lowassa kurudi CCM kabla ya 2020 na Magufuli kutawala kwa miaka 5 tu

Awezi kurudi ccm ndo kwanza anajipanga kwa 2020 ccm acheni presha kama magu kawashinda mtajuta mbeleni
 
Utabiri huu ni kama ndoto za mchana. Magufuli atatawala hadi 2025 na baada ya hapo wananchi wataomba kubadili katiba ili aweze kugombea tena. Wakati huo nchi itakuwa imepiga hatua kubwa sana za maendeleo.
 
Jamani mimi sio mpiga ramli wala mshirikina.

Kwa hali inayoendelea ndani ya serikali na ndani ya CCM, kuna uwezekano mkubwa sana Lowassa kurudi CCM kabla ya 2020 na kuja kupambana katika kuteuliwa Jina la kupeperusha bendera ya CCM 2020.

Ukweli ni ukweli tu japo wale wafia rangi ya kijani ukiwauliza utendaji wa Magufuli wanaonaje? Kwa unafiki watasema wanamkubali kwa 100% ukweli kuwa wapo kinyume, japo hawasemi, amewabana Kila sehemu ametaka kuonekana mtawala au mfalme, sasa ni dhahiri wamemchoka lakini hayo yatakuja baadae kudhihirika.

Lowassa bado ana ushawishi mkubwa ndani ya CCM, hata akirudi nguvu kubwa anayo kuzidi Magufuli ndani ya Chama.

Tuombe uzima na afya tufike hiyo 2020.

In shaa Allah!
Kweli kama mtu atamchoka Magufuli anaweza kumfanyia "sub" ya Lowasa! Huyo atakuwa hajielewi na wala hajui ktk maisha anataka nini!
 
Mimi natabiri Mheshimiwa EDWARD N LOWASSA 2020 hataweza kuwa mgombea urais kupitia CDM wala chama chochote kile nchini
 
Jamani mimi sio mpiga ramli wala mshirikina.

Kwa hali inayoendelea ndani ya serikali na ndani ya CCM, kuna uwezekano mkubwa sana Lowassa kurudi CCM kabla ya 2020 na kuja kupambana katika kuteuliwa Jina la kupeperusha bendera ya CCM 2020.

Ukweli ni ukweli tu japo wale wafia rangi ya kijani ukiwauliza utendaji wa Magufuli wanaonaje? Kwa unafiki watasema wanamkubali kwa 100% ukweli kuwa wapo kinyume, japo hawasemi, amewabana Kila sehemu ametaka kuonekana mtawala au mfalme, sasa ni dhahiri wamemchoka lakini hayo yatakuja baadae kudhihirika.

Lowassa bado ana ushawishi mkubwa ndani ya CCM, hata akirudi nguvu kubwa anayo kuzidi Magufuli ndani ya Chama.

Tuombe uzima na afya tufike hiyo 2020.

In shaa Allah!

Mkuu
Lowasa anaushawisji CCM na siyo kwa watanzania wote. Magufuli kama binadamu we kawaida,
yako mambo yanayoonekana kafanya mabaya ambayo hasa wale waliokuwa wamejimilikisha nchi wana yaona lakini raia wa kawaida tunamwona huyu ndo kiongozi anaye tufaa. Na nina hakika bado tunamhitaji na upo uwezekano mkubwa wa ushindi wa kishindo 2020.
Jambo kubwa analotakiwa kuliona ni kuwa mwangalifu na baadhi ya washauri wake, kwani hayamkini Kati yao wanaweza kutumiwa ili kumharibia.
 
Ndoto zingine bwana!!! Ukichanganya na viroba ni hatari. Sina haja hata ya kusubiri 2020. Ulicho post ni nonsense
 
Jamani mimi sio mpiga ramli wala mshirikina.

Kwa hali inayoendelea ndani ya serikali na ndani ya CCM, kuna uwezekano mkubwa sana Lowassa kurudi CCM kabla ya 2020 na kuja kupambana katika kuteuliwa Jina la kupeperusha bendera ya CCM 2020.

Ukweli ni ukweli tu japo wale wafia rangi ya kijani ukiwauliza utendaji wa Magufuli wanaonaje? Kwa unafiki watasema wanamkubali kwa 100% ukweli kuwa wapo kinyume, japo hawasemi, amewabana Kila sehemu ametaka kuonekana mtawala au mfalme, sasa ni dhahiri wamemchoka lakini hayo yatakuja baadae kudhihirika.

Lowassa bado ana ushawishi mkubwa ndani ya CCM, hata akirudi nguvu kubwa anayo kuzidi Magufuli ndani ya Chama.

Tuombe uzima na afya tufike hiyo 2020.

In shaa Allah!

Naheshimu mawazo yako lkn kwa kuwa umesema wewe si mnajimu naona unaota tu. Kuhusu lowasa umwombee mahakama ya mafisadi isimkumbe ila urais atausikia tu kwa JPM ambaye katika hii miaka mitano ya kwanza atatimiza ahadi zake zote na hatutakuwa na sababu ya kumnyima miaka mitano mingine.
 
Back
Top Bottom