Huu ni utabiri na itakuwa kweli....dr jakaya atakwenda malawi hivi karibuni.....
Ataenda au keshaenda? yuko huko hadi shughuli iishe kabisa ndo arudi.
Unachezea JK aka Bob Mazishi.
Ataenda au keshaenda? yuko huko hadi shughuli iishe kabisa ndo arudi.
Unachezea JK aka Bob Mazishi.
bwahahah msela kama mchonga majeneza vile....anataka wakuu wa nchi wafe.....duuuuuh kweli mshikaj mshamchoka!
bwahahah msela kama mchonga majeneza vile....anataka wakuu wa nchi wafe.....
imagine akiwa malawi asikie mugabe kavuta....
then wakimalizia kuweka udongo wa mwisho....
mandela nae......
mara mfalme wa japan nae kavuta...
mtamtakaje jk aisee......ile anarudi bongo tu....malkia elizabeti kaanguka bafuni kavuta.....jk atabadili suti tu na kukwea pipa tena....
hapo ataomba akiwa wanaweka mafuta amsterdam....mfalme wa pale anakufa..aiseee....jk atachukua shattle amsterdam-london-amsterdam....
japo kuna wanamaombi wengine eti wanaomba hasirudi kabisa.......