Channel no ngap kwa Azam mkuuMimi huwa nakitazama kupitia AZAM tv
Kiufupi Nat Geo hawana vipindi vibovu.!
Ongezea 166 kama unapenda series za kihindiNni channel no ngapi?
DSTV najua chanel no 108,309 na 160 tu
Asante jumapili inanihusu hiiOngezea 166 kama unapenda series za kihindi
'Science of stupid''What could possibly go wrong' Lol
Ingia upande wa documentary channel ya kwanza tu ndo hiyoChannel no ngap kwa Azam mkuu
136You know 'How its made'?,Food Factory? 'How do they do it'?
The best shows everr
Airport security ndiyo namba moja Kwa Kwangu pia kuna kipindi kinaitwa naco drug war( wauzaji madawa ya kulevya na maisha YaoAirport Security: xxxx
xxxx = Australia, Brazil etc
Kipindi Bora Kwangu hikiBila kusahau Airport Security..watu wanajilipua sana kuingiza madawa na bidhaa feki nchi za watu na wanadakwa kweli kweli..
Kwenye channel number 136 (discovery family) kuna kipindi kinaitwa west coast customer, changing gear with Aron, wheeler dealers huku ndani utafurah Sana na mambo ya Magari...Aisee nilifikiri Mimi Tu ndo napenda hivi vipindi..vitamu sana
CHL 158 haina mvuto??DSTV najua chanel no 108,309 na 160 tu
Wakenya hao Mkuu wanahitaji Sana Kwenye hii channel Yao ya maisha magic....CHL 158 haina mvuto??
Kuna moja niliona kibibi cha Indonesia kimedakwa airport na mzigo wa madawa kama kilo 10 hv na kwa jinsi alivyo park kwenye begi ni noma sanaBila kusahau Airport Security..watu wanajilipua sana kuingiza madawa na bidhaa feki nchi za watu na wanadakwa kweli kweli..