Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,260
Ngoja nami nifanye hivyo maana Hali sio nzuri.Nipo single. Nimegundua Maombi ya usiku na kufunga mara mbili kwa wiki yanapunguza tamaa za uasherati. Kabla ya hapo nilikuwa Kila nikiona bidada nahisi kuchanganyikiwa.