Nasumbuliwa na tamaa za mwili, naogopa kuwa kwenye mahusiano

Mtu asikutishe. Piga nyeto. Pesa yako utunze kwenye fixed account achana wanawake watakumalizia hela, bado kuna magonjwa na mimba. Tunza pesa yako. Fungua account hata nmb isiyo na makato ya mwezi utunze hela huko. Achana na watu wanakushauri kununua malaya.
 
nmb ninayo yaani kuhusu kutunza pesa zangu sio shida ni huu mrija ambao unachomoza hivi punde
 
Ni hivi jamani mimi ni kijana wa miaka 24 naomba ushauri wa kimahusiano. Mm mwenzenu nimekuwa mgumu mno wakuwa na mahusiano kwa sababu mbalim bali ambazo mm nazisimamia lakini napata tabu Sana kuishi hivihivi na nyemelewa Sana na punyeto.

Japo nimeona kunatija ya kuwasingle lakini Sasa nikavile naona haiwezekani kutokana na taama za mwili. Na Kama ningekuwa na uchumi mzuri kidogo ningeoa lakini Sina na tamaa Zina ninyemelea nifanyaje?

Nachohofia Sana kwenye mahusiano ya mdaa mrefu ni
Magonjwa
Kutoa hela nakutofanya mipango
Kusingiziwa mimba
Kugombana na watu
Mimba sizotarajiwa
Mawazo yasio na tija

Naomba ushauri nifanyaje jamani hi dunia ngumu Sana kuishi Kuna mda unaona Moto lakini unaforcing hivyohivyo motoni
Basi ungana na wanafunzi wa IFM
 
Tafuta kiji kazi upate kitu then fanya mpango uwe na demu mmoja mnaelewana msaidiane maisha mpaka ndoa
 
Tafuta kiji kazi upate kitu then fanya mpango uwe na demu mmoja mnaelewana msaidiane maisha mpaka ndoa
kazi zangu niza kubadilisha badilisha kutokana na majira Ila kajikazi nilipata mwezi wa saba ila nikaacha nako kwa sababu maslai
 
Wenzetu wakiwa wanapambana kugundua binadamu ataishi vipi mars,,, watumie mbinu gani kupora rasilimali africa,,

Huku vijana tunawaza ngono,, mapenzi,, uzinzi,, uasherati..

Alisikika katibu wa Chaputa kanda maalumu akisema
 
Back
Top Bottom