Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,513
- 167,166
Kama kuna pilau ntaenda, si unajua tena sie watu wa Pwani.Nenda kawasikilize then utaamua. Uzuri ni kwamba ukiwaambia huna usafiri wa kuja church watakupatia ride/lift kwenda na kurudi ama hata kukukodishia taxi, na msosi huko ni free
Mashahidi wa yehova sio walokole.Kumbukumbu zangu kwenye Biblia sijaona mahali Yesu alikuwa analazimisha watu kumfuata...
Na msafara wake ulikuwa hauishi watu, kwa sababu matendo yake na mafundisho yake pekee yalijitosheleza kuvuta umati wa watu..
Sasa iweje hawa walokole hawafuati mfano wa Yesu na kuacha watu waamue wenyewe kuwafuata baada ya kuona miujiza yao?
Ina maana hawajiamini mpaka wajitangaze redioni na kwa kupigia watu simu??
haya baba parokoKumbukumbu zangu kwenye Biblia sijaona mahali Yesu alikuwa analazimisha watu kumfuata...
Na msafara wake ulikuwa hauishi watu, kwa sababu matendo yake na mafundisho yake pekee yalijitosheleza kuvuta umati wa watu..
Sasa iweje hawa walokole hawafuati mfano wa Yesu na kuacha watu waamue wenyewe kuwafuata baada ya kuona miujiza yao?
Ina maana hawajiamini mpaka wajitangaze redioni na kwa kupigia watu simu??
Pole. Sijui hadi sasa unaabudu wapi au u dhehebu gani. Maana kama ni mkristo jamaa wana mafundisho tata kwelikweli tena ya kubumba hadi kuichakachua hata Biblia!Huyu jamaa alikuwa akinipigia simu kila siku usiku na kutaka nihamie kanisani kwao. Nimemkataza kunipigia, kwa kweli ameacha, lakini namba yangu nahisi kaigawa kanisa zima, maana napigiwa simu hadi na watoto wakinitaka nihamie huko kanisani kwao.
Kwasiku napokea simu zisizo na idadi.
Hawa jamaa ni noma, yaani wana Biblia yao iko tofauti kabisa na Biblia za kawaida, ni wapinga Kristo ni bora kutowasikiliza kabisa.Pole. Sijui hadi sasa unaabudu wapi au u dhehebu gani. Maana kama ni mkristo jamaa wana mafundisho tata kwelikweli tena ya kubumba hadi kuichakachua hata Biblia!
Mashahidi wa Yehova hawalazimishi mtu kwenda kwenda kwenye ibada zao au kuwa Mmoja wa waumini wao utaratibu huo haupo kwani kuwa Shahidi wa Yehova na kuhudhuria ibada nilazima ujifunze mambo kadhaa ya msingi kupitia home Bible study na unaweza kuwa na hii home Bible study huku ukiendelea na imani yako na hawata kulazimisha kuacha mpaka hapo wewe utakapokuwa umeweza kutofautisha uliko wewe na upande wa Mashaidi then kwa hiyari yako utachangua ipi ni njia na hiyo ndiyo falsafa yao. Na wao hudeal na wale wanaonyesha interest na belives zao. Sasa ikiwa wanakulazimasha inawezekana wewe ulipendezwa awali ukanza kujifunza sasa inawezekana hupendezwi tena,Huyu jamaa alikuwa akinipigia simu kila siku usiku na kutaka nihamie kanisani kwao. Nimemkataza kunipigia, kwa kweli ameacha, lakini namba yangu nahisi kaigawa kanisa zima, maana napigiwa simu hadi na watoto wakinitaka nihamie huko kanisani kwao.Kwasiku napokea simu zisizo na idadi.
Nimewahi ona bible wanayotumia ina kitabu kinaitwa SILAS, ambacho kilikataliwa kisiingizwe ktk Biblia takatifu.Hawa jamaa ni noma, yaani wana Biblia yao iko tofauti kabisa na Biblia za kawaida, ni wapinga Kristo ni bora kutowasikiliza kabisa.
mafundisho yao utata mtupi, wanakataza hata kumuongezea damu mgonjwa, siwataki.