nasumbuliwa na namba ya simu nisiyoijua.

nasumbuliwa na namba ya simu nisiyoijua.

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,430
Reaction score
1,789
Habari. naomba msaada wa kujua namba ya simu hii kama ni ya Tanzania au ni matapeli kwan nimkuwa nikipokea sms kuwa huyo mtu ananipenda na anataka kuja Tz kuwekeza biashara na mimi. Nimekuwa nikijibu matusi lakini hakomi anaendelea kutuma tu. Kwa sasa nimegundua kuwa hanifahamu kwani alituma sms akaandika aninipenda mimi na mume wangu wakati me ni mwanaume. Namba yenyewe ni +6745593001. Pia jinsi gani naweza kuizuia namba hii isinisumbue tena.
 
Kumbe tuko wengi, na mimi nimepata tatizo kama Hilo na namba za kwanza zinafAnana. Below is the text waliotuma

Hellooo darling! I wait your call to start my lucky day 🙂 006745593900
 
+38681894191 mkuu hata mm hii kila mara inanipigia nikisema nipokee inakata!sasa sijajua ni akina nani?
 
Download Callblocker au TrueCaller kwenye Playstore kuna option ya call filter,unaizuia hapo. Kama dhamira yako ni kutotaka kusumbuliwa.
 
Asubuhi hii tuu tayari ameshanitumia email eti ananipenda,yani karibu kila siku na hawa ni watu wa Afrika Magharibi
 
Mimi ni hii +006745593300. Sijui au kwasababu tunatumia sim banking?
 
Hao no vodacom au Togo mda husumbua sana hasa hawa vibaka was voda
 
Kuna post nyingi humu zimeongelea utapeli, sechi.

Sasa hapo kwenye e-mail ndipo wanapotaka, usijibu kabisa kwa e-mail. Hata facebook usichukue e-mail zao kujibu as wizi ndio unapoanzia.

N.b. Mara nyingi pia mtu ukisechi kwa kujaribu maneno au neno hili au lile basi utaweza pata nyuzi na kukusaidia kujua zaidi habari unazotaka kama zipo.
 
"Good morning?my dear how are you? 006745593014"
Mwingine huyo
 
Darling how was ur day? 006745593573


Mimi niliipotezeaga kitambo tu.. nilijaribu fatilia kwa kutumia gps nikaona namba inapatikana australia kwenye kisiwa ambacho sikifahamu kwakweli.
 
Mnakosea sana kwa nini na nyie msiwe mnawasumbua kwaku beep saa nzima mfululizo?
 
dawa ya moto ni moto wanapotulia kuwasumbua nyie ndio mnaanza unapokuwa huna kazi na ww unaanza kuwasumbua mpaka wajute kama wao ni matapeli watajuta
 
Hizo ni number nadhani zinakuwa generated na software fulani unazoweza kupiga na kutuma sms kwenye PC yako without sim card

Hata ukizipiga ni kazi bure wao wameset ukipiga au ukireply sms utapokea tena sms inakupa email yake na mkienda huko ndio atakuliza sasa
 
Darling how was ur day? 006745593573


Mimi niliipotezeaga kitambo tu.. nilijaribu fatilia kwa kutumia gps nikaona namba inapatikana australia kwenye kisiwa ambacho sikifahamu kwakweli.

Naomba unielekeze kaka ulivotumia Global Positional System kujua maala ilipo hiyo numb. Ni app ktk simu au computer au GPS zenyewe kama Garmin etc?
 
We kausha tu,me kuna m1 ananisumbuaga kwa email nilimpa email useles
 
hao nio mataperi mana wamejiingiza kwenye mitandao ya kijamii ili kuwaibia watu....sasa wapo kwenye mitandao kama:
Tagged
Waplog.com
www.facebook.com....so kuwa makini na wengi wanakwambia familia zao zimeuawa kwenye machafuko ya kisiasa kama:
Liberia,Senegal,libya,Nigeria na Mali...so watu wangu kuweni makini maana ni wadada wazuri sana.ni hayo tuu
 
Back
Top Bottom