mwaxxxx
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 858
- 247
Mnakosea sana kwa nini na nyie msiwe mnawasumbua kwaku beep saa nzima mfululizo?
Chaji mkuu,,,si unawajua tanesco hawana ratiba
Mnakosea sana kwa nini na nyie msiwe mnawasumbua kwaku beep saa nzima mfululizo?
+38681894191 mkuu hata mm hii kila mara inanipigia nikisema nipokee inakata!sasa sijajua ni akina nani?
+37390002692[TABLE="width: 100%"]+37390002692 na +6745593336 Mimi hua naogopa kuzipiga isije ikawa wametegesha ukipiga tu unakua kama umejiunga na huduma flani (Unaanza kukatwa) au wanapata details zako hasa kwenye M-Banking wakaniliza bure!
Mimi ni hii +006745593300. Sijui au kwasababu tunatumia sim banking?
Hizo ni number nadhani zinakuwa generated na software fulani unazoweza kupiga na kutuma sms kwenye PC yako without sim card
Hata ukizipiga ni kazi bure wao wameset ukipiga au ukireply sms utapokea tena sms inakupa email yake na mkienda huko ndio atakuliza sasa