Nasumbuliwa na mawazo ya kuacha chuo. Nifanyeje?

Hili tatizo linanichanganya sijui chanzo ni nini. Ninasoma chuo ninamaliza mwaka wa kwanza nasumbuliwa na mawazo ya kuacha chuo tangu nimeanza chuo chenyewe lakini nikifanya mitihan nafaulu vizuri sana.

Sijui shida ni nini ila moyo wangu unapenda kabisa kusoma.

Nikaenda kusomewa kuraani nikaambiwa darasani tu nachezewa, nikaenda kanisani nikaambiwa bibi yangu kachukua nyota yangu kaweka kwenye kaniki yaani nazidi kuchanganikiwa kwasababu mwakani inabidi nije niendelee na Diploma naifikiria hii hali itakuwaje kwa mwaka wa pili.
Hahahahaaa, Itakuwa hizo pregabalin zinakusabibishia usingizi darasani,

A small number of people who take anticonvulsants for any condition (such as seizure, bipolar disorder, pain) may experience depression, suicidal thoughts/attempts, or other mental/mood problems.

Komaa utamaliza tu shule yako, ila itabidi ujikaze kidogo mwaka wa pili ndio muhimu sana kimasomo
 
Back
Top Bottom