The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,281
Kwani mwisho wa mwezi ni lini?
Ulipokuwa unapewa tarehe 21 badala ya 30 mshahara ulikuwa ni haki yako au la?
Usiropoke tu, ukimuita mwenzako stupid jua kabisa kwamba hajapenda.Kuna kiashiria chochote cha "vyama vya siasa" katika post yangu? Usijiandikie tu uharo kama nguchiro πππ. Watu wanaulizia mshahara wa mwezi wa kumi. Kuna inconsistency inaonekana maana kwa muda mrefu mshahara unaingia mapema. Ghafla mwezi huu, mshahara unaonekana kucheleweshwa.
hataree sanaaNi doro tuuu. Hatareee...
hahahaaa Nahisi aliomba hifadhi ya kulala OfisiniNamtafuta yule aliyeenda kazin na 400 tu, vipi alirudi vipi nyumbani?
Usihamishe magoli. Issue ni mshahara umechelewa. Kulikoni? Usiwawekee mipaka watu katika speculations zao. Kwanza wewe unaonekana ni kati ya wafagizi wa lumumba. Huna mshahara bali posho kutoka kwa humphrey.πππUsiropoke tu, ukimuita mwenzako stupid jua kabisa kwamba hajapenda.
Kama hoja ni kuulizia mshahara mambo ya kufilisika serikali yanatoka wapi? Ivi mshahara ukichelewa sababu inakua ni kufilisika kwa serikali tu?
Njaa zitawaua nyie wafia vyama.
Wasalimieni wezi wenzenu wa ccm na chadema
Hahahaaa hataree sanaaaHamjiulizi kwanini Rais alisema anazihitaji zile Billioni 700 haraka harakaa....!!
Kama mshahara umechelewa acha kazi nenda kajiajiri.Usihamishe magoli. Issue ni mshahara umechelewa. Kulikoni? Usiwawekee mipaka watu katika speculations zao. Kwanza wewe unaonekana ni kati ya wafagizi wa lumumba. Huna mshahara bali posho kutoka kwa humphrey.πππ
hali ikiendelea hivi, mwezi ujao na mimi najikabidhi CRDB nichngie riba yaoYaani hapa wanataka mpaka tuchukue salary advance CRDB ili wagawane riba zetu za 5%
Msalimie mwenyekiti wa ccm lumumbaSasa jipya lako ni kutafuta mambo ya kitoto kama haya?
Kwani huko ccm kwenu au huko chadema kwenu mnalishwa nini mpaka mnakua matahira namna hii?
Hivi ni kweli kwamba hakuna mambo ya kujadili au kuanzisha mada zaidi ya huu utoto wa kuzungumzia mshahara?
Alafu unaweza kukuta nawewe ni mtu mzima na una familia eti[emoji23][emoji23]
Ooh mishahara imechelewa hii ni ishara serikali imefilisika! We unadhani serikali inafilisika kirahisi namna hiyo? Sasa wakiamua kulipa leo au kesho utaleta mada gani tena kwamba serikali imekua tajiri au[emoji23] [emoji23]
Wakuu JF ni jukwaa kubwa sana tujitahidi kuandika vitu vyenye maana na vyenye uzito, sio huu utoto wa mistari mitano unapost
Kama mshahara umechelewa acha kazi nenda kajiajiri.
Sasa unalialia humu ulisikia jf inatoa mishahara?
Ccm utajiunga wewe
Chadema utajiunga wewe.
Mimi ni mwanaume sitangazi njaa.
Mfano mbaya! Yesu ni kweli atarudi, lakini akirudi Leo je uko tayari kumlaki mawinguni? Anakusubiri uokoke kwanza maana akirudi kabla hujaokoka ni hatari sana! Ukiachwa utaishia jehanamu! Lakini uvumilivu na subira yake kuna siku itafikia mwisho! Hima uokoke Leo!Kuiamini serikali hii ni kama ile kauli ambayo tulikuwa tukifundishwa kanisani "Kesheni mkiomba Yesu atarudi"!
Lazima utokwe povu [emoji23] [emoji23]Hata matonya alikuwa mwanaume mjinga wewe.
Usimpangie mtu cha kusema humu jf. Control kaifanye kwa mumeo huko lumumba, sio hapa.
Mshahara ni haki ya mfanyakazi. Kwa nini aache kazi? Huko ni kutojitambua. Ndio tabia zenu wafagizi wa lumumba.
Acha utaniHureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu majina yameanikwa!!!!!
Umeona ee?Mfano mbaya! Yesu ni kweli atarudi, lakini akirudi Leo je uko tayari kumlaki mawinguni? Anakusubiri uokoke kwanza maana akirudi kabla hujaokoka ni hatari sana! Ukiachwa utaishia jehanamu! Lakini uvumilivu na subira yake kuna siku itafikia mwisho! Hima uokoke Leo!
Lazima utokwe povu [emoji23] [emoji23]