twafa-kali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 251
- 211
Nipeni taarifa nimebakiwa ka 30 elfu kamwisho.Kuna mtumishi wa umma yeyote aliyepata tayari??
Bado muamala haujatema subilia cku mbili tatu ivi..Nipeni taarifa nimebakiwa ka 30 elfu kamwisho.Kuna mtumishi wa umma yeyote aliyepata tayari??
Hahahaha hadi 30/10/2017 na kabakiza 30000Mwisho wa mwezi bado
Waweke leo ..hali ishakuwa siyo hali mkuuMkuu, kuanzia wiki hii.. Vumilia
Mwisho wa mwezi kimshahara tayari.Mwisho wa mwezi bado
Siku zako za kazi ili ulipewa hazijakamilika.Mwisho wa mwezi kimshahara tayari.
Last month salary iliingia tarehe 22 na leo 23 October. Bado mwezi haujaisha tuu??
Tarehe 30 haifiki kwa uncle Magu. Hazina imejaa fedha. Kitu siku mbili hiziHahahaha hadi 30/10/2017 na kabakiza 30000
Zishakamilika tayariSiku zako za kazi ili ulipewa hazijakamilika.
Ulishaambiwa kama unaona mshahara hakutoshi acha kaziHahahaha hadi 30/10/2017 na kabakiza 30000
MTUMISHI WA UMMA ANAJITAMBUA ! HUJITAMBUI UTAKUWA JIPU LILILOIVA !!!Nipeni taarifa nimebakiwa ka 30 elfu kamwisho.Kuna mtumishi wa umma yeyote aliyepata tayari??
Mkuu waweke tu leo..hali si haliMkuu, kuanzia wiki hii.. Vumilia