Nasubiri mshahara wa Octoba 2017

Nasubiri mshahara wa Octoba 2017

Hivyo mimi na watumishi wenzangu wenye nasaba kama zangu tnasubiri Oktoba hii.
Hata tarehe 15 bado unazungumzia mshahara,ndio maana tija hakuna serikalini,nakushauri acha kazi mkuu ya nini kulalalmika?
Unatishia kujamba wakati unaharisha?Unataka mshahara kwa lipi hasa unalofanya,ikiletwa utaratibu wa KPI serikali mtaondoka wengi sana,acheni kufanya kazi kwa mazoea.
Pinda mgongo toka saa moja na nusu hadi tisa unusu ndio ulalamike
 
Wakati wewe unasubiri mshahara wa mwezi wa kumi, makeshia wa maxcom mwendokasi bado wanasubiri mshahara wa mwezi wa tisa.
 
Hata tarehe 15 bado unazungumzia mshahara,ndio maana tija hakuna serikalini,nakushauri acha kazi mkuu ya nini kulalalmika?
Unatishia kujamba wakati unaharisha?Unataka mshahara kwa lipi hasa unalofanya,ikiletwa utaratibu wa KPI serikali mtaondoka wengi sana,acheni kufanya kazi kwa mazoea.
Pinda mgongo toka saa moja na nusu hadi tisa unusu ndio ulalamike
Nasubiri mshahara wa Octoba
 
Kuongeza mshahara so hoja,hats ukibakia ulivyo saw a,hoja ni kupunguza mfumuko was bei ,ili hata hiyo iliyopo iongeze uwezo wa kununua 'cash purchasing power vs inflation!!! Kwa saruji angalau ila sukari no!
 
Mh Jana nimenunua cement mfuko mmoja elfu 17000 tembo na Nyati 18000..bei imepanda sana huku kusini
 
Tuwie radhi ndugu mshahara wako umetumiwa ktk harakati za kuikomboa bomba-dia yetu!
 
I miss JK
Jamaa huyu alifanya mambo kwa style tofaut kidogo hapo mwishomwisho.

Ni km vile wewe na mimi tunapokea laki4 kila mmoja wetu, tunafamilia zenye idadi sawa. Kisha tunaanza maisha kwa style tofaut. Wakati familia yangu inainjoi maisha kwa kula vizuri na kuvaa vizuri mshahara wangu haubaki kwa hiyo sifanyi maendeleo, na nnapopata dharyla km ya ugonjwa nakopa.
Wewe unatumia laki3 tu zingine unareserve kwa ajili ya kujenga miundombinu ya kukuza uchumi ktk familia.
Watoto wako watatamani maisha ya familia yangu na kuchukia yako.

Lakini baada ya miaka mitano ukweli utadhihiri kwa kuwa ktk miaka miwili tayari ulishaweka mradi unaozalisha faida baki ya laki tatu kila mwezi na mwaka wa tano faida baki ya miradi yako ni laki tano.
Ndo kusema sasa unaweza kuishi kama mimi lakini wakati huo hauna madeni na unajenga nyumba lakini pia kununua asset ambazo mimi siwezi kuzinunua.
Wakati huo mimi nang'ng'ana kumaintain weather hapa kwangu lakini nipo hoi kwa madeni.

Nadhani umenielewa, ila sema tatizo sisi sio watoto na hatukuandaliwa nambaya zaidi tuliahidiwa, that's too bad
 
Hata tarehe 15 bado unazungumzia mshahara,ndio maana tija hakuna serikalini,nakushauri acha kazi mkuu ya nini kulalalmika?
Unatishia kujamba wakati unaharisha?Unataka mshahara kwa lipi hasa unalofanya,ikiletwa utaratibu wa KPI serikali mtaondoka wengi sana,acheni kufanya kazi kwa mazoea.
Pinda mgongo toka saa moja na nusu hadi tisa unusu ndio ulalamike
Kuna watu na viatu ujue
 
Wanyonge wamegeuzwa mtaji wa kisiasa wa wanasiasa alafu wanawaibia wanyonge wanaodai kuwatetea.
 
Back
Top Bottom