Ndoa tushehakikiwa mkuu! Hiyo ya jinsi itakuwa ishehakikiwa pamoja na ndoa. Punde si punde mambo yatakuwa swafi. Subira huvuta heri.Mkuchika kawajuza hadi mhakikiwe umri wenu.Baadaye jinsi zenu,ndoa zenu.......!

Waajiriwa wa serikali awamu hii wasipojiongeza sijui kama hawatarudi kwenye maisha yale ya duka kaya!Haiyamkini kama wakitegemea kazi ndiyo mkombozi wa maisha yao watakufa masikini.Serikali hii haina urafiki na waajiriwa wake.Ndoa tushehakikiwa mkuu! Hiyo ya jinsi itakuwa ishehakikiwa pamoja na ndoa. Punde si punde mambo yatakuwa swafi. Subira huvuta heri.
Hizi changamoto ndo zilipelekea watu wagundue lipa kadri wanavyotumia "luku". Yaani watumishi wanatakiwa sasa waanzishe 'new approach' ya kufanya kazi kwa kadri wanavyolipwa.Watumishi wanatakiwa wajifunze kujiongeza tu wenyewe kwa kumuibia muajiri hata muda tu unatosha kufidia haya madhira waliyoyaleta mbona ofisini siku hizi hakuna noma kama kitambo ile watu macho wazi siku hizi mnapangiana tu namna ya kumpiga muajiri ukijifanya wewe unakomaa hakika utaitesa familia uku unaona.
Hizi changamoto ndo zilipelekea watu wagundue lipa kadri unavyotumia "luku". Yaani watumishi unatakiwa sasa waanzishe new approach ya kufanya kazi kwa kadri unavyolopwa.
Najua kuna baadhi ya idara walishaanza mipango kazi wa FUKU (fundisha kadri unavyolipwa), TUKU(tibu kadri unavyolipwa), EKU (Endesha kadri unavyolipwa) na nyinginezo.
Kulialia lia haisaidia adaptation ndio mpango mzima. Inatakiwa tutumie hiyo mipango vizuri mpaka mwajiri ajilize kama walimu hasa wa shule kongwe wamefaulu maana jamaa wamesensitize hiyo program mpaka shule za kata zinawapita.
Ifike mahali mwajiri achezeshwe mpaka aombe poo mwenyewe kulialia hakusaidii!!!

Ni sawa na wewe uwe na mtoto kila siku anakuja kwako analia nimepigwa nimepigwa atakuboa. Inatakiwa siku aje nae kapiga MTU huko.Umenena vema mkuu,sioni sababu ya kumlilia muajiri na kulalamika wakati unajua hakusikilizi ni vema tukachukulia hii hali kama changamoto alafu tutafutie ufumbuzi na njia rahisi ni kuwajibikia kadri unavyolipwa sina uhakika na ofisi nyingine ila hapa kwetu kitambo tume-switch kwenye mfumo ambao ni rafiki kwetu kadri tunavyouzoe hatuoni hayo maumivu ya wanayoyafanya nashangaa mtu anashindwa hata kuiba muda tu duh watumishi tuamke ili siku moja na muajiri alalamike kua kuna kuzorota kwa huduma.
This is goodNi sawa na wewe uwe na mtoto kila siku anakuja kwako analia nimepigwa nimepigwa atakuboa. Inatakiwa siku aje nae kapiga MTU huko.
Kama wafanyakazi wakiungana hawahitaji hata vyama vya wafanyakazi. Mwajiri mwenyewe atakuja kupiga magoti kuomba maridhiano. Mimi naipenda FUKU sana maana kama lengo ni Pass yaani D. Sasa mtoto akiweza kupata D inatosha tafuta shughuli nyingine za kufuga nguruwe endesha bodaboda ongeza kipato. Anaetaka mwanae apate A ampeleka Saint kunani salary zipo nzuri, good T/L enviroment ila huku iwe D tu.
Kesho tu lazima mwajiri aombe maridhiano
Nilijitahidi kujenga uwezo wa kuelewa which costs energy and mind + time sasa ni kukaririsha tuThis is good
Ni sawa na wewe uwe na mtoto kila siku anakuja kwako analia nimepigwa nimepigwa atakuboa. Inatakiwa siku aje nae kapiga MTU huko.
Kama wafanyakazi wakiungana hawahitaji hata vyama vya wafanyakazi. Mwajiri mwenyewe atakuja kupiga magoti kuomba maridhiano. Mimi naipenda FUKU sana maana kama lengo ni Pass yaani D. Sasa mtoto akiweza kupata D inatosha tafuta shughuli nyingine za kufuga nguruwe endesha bodaboda ongeza kipato. Anaetaka mwanae apate A ampeleka Saint kunani salary zipo nzuri, good T/L enviroment ila huku iwe D tu.
Kesho tu lazima mwajiri aombe maridhiano
Mkuu,bora Diamond aongee ataaminika na kueleweka kuliko Magu na Serikali yake,waongo sanaSerikali ya awamu ya tano imekuwa inajinadi kuwa si ya kisiasa bali ni ya kiutendaji zaidi. Na President amekuwa akisema yeye ni msema kweli na anaamini kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Kwa dhana hiyo tu niliipa imani yangu na kuitetea mbele ya watu wanayoipinga. Hata pale ahadi ya serikali ya kushughulikia wafanyakazi hewa kwa miezi miwili ilipofeli niliyaelewa maelezo ya serikali kuwa tatizo ni kubwa kuliko walivyodhani.
Tulio na imani na serikali tulijipa mda wa kutosha kuwa atleast January 2017 italipa stahiki zilizosimamishwa ikiwa imeshamaliza uhakiki, HAIKUWA.
Tukasema tusubiri bunge la Feb tupate maelezo rasmi ya serikali kupitia kwa wawakilishi wetu, serikali ikakiri kumaliza uhakiki. Tukatumaini kwa kuchelewa basi April italipa, Holla.!!
Tukabashiri Serikali inajipanga kufanya fresh start ktk bajet mpya ya 2017/2018 ili July kieleweke, HAIKUWA
Serikali ikatoa maelezo bayana kuwa kilichokuwa kinatatiza ni rufaa za vyeti na kwamba hatma yake ilikuwa 30,Sept na kwamba tayari serikali ilikuwa imetenga fedha kwa ajiri ya increament na madaraja ambayo yangelipwa baada ya Septemba 30.
Hivyo mimi na watumishi wenzangu wenye nasaba kama zangu tnasubiri Oktoba hii.
Lakini kwa hii 'verse' mpya ya Mkuchika naanza kuwa na wasiwasi iwapo serikali hii ni ya 'wasemakweli' na 'watendaji'
Baada ya Oktoba kupita bila increament na madaraja yaliyosimamishwa kurejeshwa, mtazamo wangu na wenzangu juu ya serikali hii utakuwa tofauti kabisa (hata kama malipo hayo yatafanyika April kabla ya Mei Mosi ambayo ni kejeli kabisa) nitajua tu kuwa sasa wafanyakazi tutakuwa tumegeuzwa punching bag ya serikali dhidi ya raia jambo ambalo ni unafiki, na tutafanya kazi kinafiki kweli..
KUTOKA NDO HATUTOKIII..!!!
Amenogewa siasa, unaweka siasa katika stahili za watumishi?Mkuu,bora Diamond aongee ataaminika na kueleweka kuliko Magu na Serikali yake,waongo sana
Hahahaa...Ni sawa na wewe uwe na mtoto kila siku anakuja kwako analia nimepigwa nimepigwa atakuboa. Inatakiwa siku aje nae kapiga MTU huko.
Kama wafanyakazi wakiungana hawahitaji hata vyama vya wafanyakazi. Mwajiri mwenyewe atakuja kupiga magoti kuomba maridhiano. Mimi naipenda FUKU sana maana kama lengo ni Pass yaani D. Sasa mtoto akiweza kupata D inatosha tafuta shughuli nyingine za kufuga nguruwe endesha bodaboda ongeza kipato. Anaetaka mwanae apate A ampeleka Saint kunani salary zipo nzuri, good T/L enviroment ila huku iwe D tu.
Kesho tu lazima mwajiri aombe maridhiano
Utakuwa ni ubabaishajiBAJETI IJAYO WATAONGEZA
Watahakiki kabila ili wajue kama mtu anastahili nauli ya Bukoba wakati siyo Mhaya.Mkuchika kawajuza hadi mhakikiwe umri wenu.Baadaye jinsi zenu,ndoa zenu.......!