Nasubiri kwa hamu sana maamuzi ya JWTZ dhidi ya ' Twiti ' ya Zitto Kabwe kwa kuvitaja vifaa vyao vya Siri Ngerengere

Zitto Kabwe ni nani mpaka aseme kwamba ana uhakika kuwa Jeshi la Wanachi la Tanzania ( JWTZ ) lina Vifaa ' Maalum ' vya Kijeshi vya Uokoaji ila anashangaa kuona halijahusishwa kikamilifu katika kuvitumia ili kuweza Kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu katika Ajali ya MV Nyerere.

Ninavyojua ni kwamba Kutaja hovyo tena hadharani Vifaa vya Kijeshi ni sawa sawa na Kuuza Siri kwa Maadui wa Tanzania na kibaya zaidi Zitto Kabwe mwenyewe katika ' Twiti ' yake amekiri kabisa kwamba anajua na ana uhakika kuwa JWTZ wana hivyo vifaa katika Kambi yao tena ' Nyeti ' kabisa ya Ngerengere Mkoani Morogoro.

Sasa kama Zitto Kabwe anadhani kuwa JWTZ ni sawa sawa na Cyprian Musiba Kazi anayo na kama vile nawaona sasa JWTZ jinsi wanavyojipanga ili kuweza Kumfundisha adabu kwa kuwa na ' Kiherehere ' cha hadi kutaja Vifaa vyao Kinyume kabisa na Maadili na Utaratibu wao.

Kazi ipo hakyanani!

Nawasilisha.
Unaona vifaa ni muhimu kuliko maisha ya watu? Pathetic
 
Sasa mkuu kuna ajabu gani kusema au kutaja kwamba Jeshi lina vifaa vya kuokolea? kama hivyo vya uokoaji tu (ambavyo vipo kweli vimewekwa stoo) umeifanya headline je, Huyo Zitto Angetaja vya Kivita si ndio ungeleta uzi uliou"bold" kwa rangi nyekundu kabisa? Usitumike kipuuzi...Mara nyingi wajanja huwatumia wajinga kujinufaisha NB: Epuka kuwa miongoni mwa hao wajinga.
 
KWAHIYO KAZI YA HIVYO VIFAA NI KAA KAMA SIRI AU VITUMIKE KWENYE MAJANGA KAMA ?? Tanzania kuna siri gani anyway KAMA TISS TU TUNAWAJUA HADI MICHEPUKO YAO?
 
Zitto Kabwe ni nani mpaka aseme kwamba ana uhakika kuwa Jeshi la Wanachi la Tanzania ( JWTZ ) lina Vifaa ' Maalum ' vya Kijeshi vya Uokoaji ila anashangaa kuona halijahusishwa kikamilifu katika kuvitumia ili kuweza Kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu katika Ajali ya MV Nyerere.

Ninavyojua ni kwamba Kutaja hovyo tena hadharani Vifaa vya Kijeshi ni sawa sawa na Kuuza Siri kwa Maadui wa Tanzania na kibaya zaidi Zitto Kabwe mwenyewe katika ' Twiti ' yake amekiri kabisa kwamba anajua na ana uhakika kuwa JWTZ wana hivyo vifaa katika Kambi yao tena ' Nyeti ' kabisa ya Ngerengere Mkoani Morogoro.

Sasa kama Zitto Kabwe anadhani kuwa JWTZ ni sawa sawa na Cyprian Musiba Kazi anayo na kama vile nawaona sasa JWTZ jinsi wanavyojipanga ili kuweza Kumfundisha adabu kwa kuwa na ' Kiherehere ' cha hadi kutaja Vifaa vyao Kinyume kabisa na Maadili na Utaratibu wao.

Kazi ipo hakyanani!

Nawasilisha.
Una umri gani?
 
Yaani umeandika mambo ya utoto kabisa.Vifaa vya uokoaji kuwepo ndani ya vikosi vya Jeshi si jambo la siri maana hata wao wenyewe huonesha tu wakiwaaminisha wananchi kuwa wako imara kwa lolote.Yapo mambo yanayojulikana kuwa ni siri lakini hilo sio.Siku moja utapata maelekezo ya kutosha hapa jamvini kuhusu nini kinaitwa siri na aina zake.
 
Mleta uzi nahusi ana akili nyingi na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri wana mshambulia.Binafsi nacheka tu moyoni kweli jamaa ana akili.

Nashukuru kwa kulijua / kuling'aumua hilo Mkuu na tayari lengo langu ' Mama ' la Kuuanzisha huu ' Uzi ' umetimia na ndiyo maana unaona hata ' simtukani ' Mtu bali hapa nilipo kila nikisoma ' comments ' za Watu nacheka tu. Ukiwa na IQ kubwa na iliyobarikiwa halafu ukajua kuitumia mbele ya ' Wapuuzi ' wengi ' wanaokurupuka ' raha sana Mkuu. Akhsante sana Mwenyezi Mungu.
 
Zitto Kabwe ni nani mpaka aseme kwamba ana uhakika kuwa Jeshi la Wanachi la Tanzania ( JWTZ ) lina Vifaa ' Maalum ' vya Kijeshi vya Uokoaji ila anashangaa kuona halijahusishwa kikamilifu katika kuvitumia ili kuweza Kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu katika Ajali ya MV Nyerere.

Ninavyojua ni kwamba Kutaja hovyo tena hadharani Vifaa vya Kijeshi ni sawa sawa na Kuuza Siri kwa Maadui wa Tanzania na kibaya zaidi Zitto Kabwe mwenyewe katika ' Twiti ' yake amekiri kabisa kwamba anajua na ana uhakika kuwa JWTZ wana hivyo vifaa katika Kambi yao tena ' Nyeti ' kabisa ya Ngerengere Mkoani Morogoro.

Sasa kama Zitto Kabwe anadhani kuwa JWTZ ni sawa sawa na Cyprian Musiba Kazi anayo na kama vile nawaona sasa JWTZ jinsi wanavyojipanga ili kuweza Kumfundisha adabu kwa kuwa na ' Kiherehere ' cha hadi kutaja Vifaa vyao Kinyume kabisa na Maadili na Utaratibu wao.

Kazi ipo hakyanani!

Nawasilisha.
Acha uchonganishi ww.
 
Jinga sana wewe

Back
Top Bottom