Nasubiri kusikia mahubiri ya kesho Jumapili

Nasubiri kusikia mahubiri ya kesho Jumapili

nimemiss pia kusikia matamko ya Mwingira sijamsikia mda sana msimamo wake na serikalii hii ya hapa kazi tu
 
Kukemea nini ninyi waongo waongo??? Yaani mlizoea kutukana sasa dawa yenu ilishapatikana
1466310646945.jpg
 
Wenzio washaelewa
Mkuu mbona kama umeandika kwa haraka haraka!! Hukuweka hata vijinyama nyama kidogo vya muhimu kwenye mada yako! Unataka viongozi wa dini wakemee juu ya nini hapo kesho Jumapili?
 
Aisee inamaana kumbe Mkienda huko Nyumba za Ibada nyie ni Siasa tuuuu.
Watu waache kuhubiri mambo ya Msingi na maana wakalie ujuha huo
 
Back
Top Bottom