Nasubiri Kubenea aje kutengua kauli ya MwanaHalisi!


Mkuu umepoa sana wakati huu kuna mtanziko gani?
 

yeye anajali ubunge wake anaweza asimpigie kura kweli, halafu c unajua wenye chama ndio wamesha amua hvyo wengne ni kufuata maagizo tu, kama hutaki unasepa kama dr. slaa.
 
kubenea hajielewi naona mahakaa ilikosea kumfungulia kama atafuta kauli atathibitisha kuwa kweli mwanahalisi walikuwa wachochezi maana alikuwa anatoa hadi uthibitisho kuwa lowasa fisadi,hasafishiki kila aina ya maneno leo anataka azunguke amsafishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…