Nasubiri Kubenea aje kutengua kauli ya MwanaHalisi!

STDVII

JF-Expert Member
Nov 24, 2014
1,604
651
itabidi kubenea aiuze mwanahalisi,maana hakuna jinsi atageuka asijidharaulishe....

njaa mbaya sana wazeia......
itabidi makala hizo tuwapelekee wale wazungu wAliomuona wa maana huyu jamaa watajua kumbe njaa huwa inamsumbua anabuni mambo ya kuandika ili auze gazeti

Mkuu umepoa sana wakati huu kuna mtanziko gani?
 

duttu.e

JF-Expert Member
May 29, 2014
821
854
Mkuu tukisema hawa watu waje kutengua kauli zao hahahahaha itakua hatari maana kampeni za upande mwingine itabidi zisitishwe maana walisema na kutuaminisha mambo mabaya na makubwa sana juu ya wanaomwita mkombozi. Mfano
"Atakaye mpigia kura EL akapimwe akili" Msigwa

yeye anajali ubunge wake anaweza asimpigie kura kweli, halafu c unajua wenye chama ndio wamesha amua hvyo wengne ni kufuata maagizo tu, kama hutaki unasepa kama dr. slaa.
 

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
12,454
14,639
kubenea hajielewi naona mahakaa ilikosea kumfungulia kama atafuta kauli atathibitisha kuwa kweli mwanahalisi walikuwa wachochezi maana alikuwa anatoa hadi uthibitisho kuwa lowasa fisadi,hasafishiki kila aina ya maneno leo anataka azunguke amsafishe
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom