Nasubiri Kubenea aje kutengua kauli ya MwanaHalisi!

Nasubiri Kubenea aje kutengua kauli ya MwanaHalisi!

Ujue serikali ya ccm ni chawa imelifungulia makusudi hili gazeti wakati huu ili kubenea aswalike juu ya Mthee mamvii. Alipokuwa ndo walikuwa wanamtumia kama fisadi mamvi! Sasa huku ni tutamnyoosha na kumfua ile roho chafu ikashndwe

itabidi kubenea aiuze mwanahalisi,maana hakuna jinsi atageuka asijidharaulishe....

njaa mbaya sana wazeia......
itabidi makala hizo tuwapelekee wale wazungu wAliomuona wa maana huyu jamaa watajua kumbe njaa huwa inamsumbua anabuni mambo ya kuandika ili auze gazeti
 
Hii movie Kali sana aiseee maana kubenea alivyokuwa anamchafu lowasa
Sasa sijui atakuwa na sura gani machoni pa wananchi!!!!

Sisiemu ni maninja aiseeee
mkuu tofautisha tuhuma na hatia zile zilikua tuhuma sio hatia.watanzania hatugawanyiki kwa tuhuma.nakama ni hivyo leo ccm isingetakiwa hatatu kusimama mbele ya wananch na mashati yao ya kijani kwa madudu muliofanya mulipokua madarakani kwa miaka yote hakuna rais aliyeondoka ukiwatoa mwinyi na nyerere ambaye wanach waliona afadhali ya maisha kila aliyekua anatoka alikua anaiacha tanzania kwenye tanzania pabaya zaidi
 
Kwani kubenea ndo mahakama? Watz tulivo na numb heads, mwakyembe alisema km angesema kila kitu serikali nzima ingeanguka. Sasa badala ya watz kumlazimisha mwakyembe kutoa ripoti kamili mnahangaika na mwanahalisi. Shame on you
 
Katika toleo la mwanahalisi la tarehe 6-12 april 2011 kubenea alituambia ukweli mchungu kwa #Teamdodoki.

Alisema Lowassa hasafishiki.

Tusubiri tuone atakavyofuta kauli ya Mwanahalisi...

Hata mjomba SUMAYE alisema kama CCM watampa bendera Lowasa kugombea urais yeye atahama chama ni mwizi
 
Tatizo mzee ni rangi nyeupe, kuanzia nywele, shati, hadi ngozi. Mipango yote hiyo ya Kumchafua lakini mzee hachafuki tu? ?????!!!!
 
Mkuu tukisema hawa watu waje kutengua kauli zao hahahahaha itakua hatari maana kampeni za upande mwingine itabidi zisitishwe maana walisema na kutuaminisha mambo mabaya na makubwa sana juu ya wanaomwita mkombozi. Mfano
"Atakaye mpigia kura EL akapimwe akili" Msigwa
 
sio sifa kuanzisha thread ovyo ovyo hii leo yatano, mh unatumika sio siri.
 
Hilo ndo kosa kubwa alilofanya Mbowe...Kikwete alisema..ccm haitaki kuchukua mtu ambaye itawachukua muda mrefu kumsafisha kabla hata ya kuanza kampeni...chadema walivyo wajinga...wakamkimbilia huyohuyo...matokeoyake hadi sasa hawajaanza kampeni wako bize wanamsafisha....nadhani mpaka kutakate, itakuwa tayari October 28
Na CCM wako bize kuonesha uchafu wa huyo huyo mtu. Ni kama hawajaanza kampeni ya kunadi sera (pamoja na kwamba nazo ni zile zile za 2010). Hali hiyo ndio inabidi ikufanye umwangalie huyu binadamu kwa jicho la tatu - sio binadamu wa kawaida. Jukwaa la kampeni ya CCM limetawaliwa na kuonesha Lowassa alivyo kapi.
 
Kila mtu anajua kubenea ni mnafiki utashangaa mwenyewe atakavyomsafisha mamvi subiria kesho kwenye mkutano wa mamvi mbezi mwisho kubenea haaminiki kama kinyonga ni opportunity mchumia tumbo.
 
Hilo ndo kosa kubwa alilofanya Mbowe...Kikwete alisema..ccm haitaki kuchukua mtu ambaye itawachukua muda mrefu kumsafisha kabla hata ya kuanza kampeni...chadema walivyo wajinga...wakamkimbilia huyohuyo...matokeoyake hadi sasa hawajaanza kampeni wako bize wanamsafisha....nadhani mpaka kutakate, itakuwa tayari October 28

Kibaya zaidi wameamua kumchafua kwanza Dr, while Lowassa anagandwa na povu la ufisadi
 
Lowasa keshamalizia hicho kibwagizo chenu.mwenye ushahidi aende mahakamani.serikali kama INA ushahidi isisite iende mahakamani,mavuvuzela kama wana ushahidi wawahi mahakamani,ccm kama INA ushahidi inangoja ninii?mmekuwa Yale magari ya kale kusubiria kushtuliwa kwa 'handle'?
 
Kwasababu hujajua jinsi watu wanavyoelewa mambo na uandishi wa habari za makala jinsi unavyoweza

kugeuza hiyo story ikawaliza ccm tena kama ilivyokuwa mwanzo.

Leo makamba kasema lowassa ni fisadi namba 9 wapo 8 waliomtangulia ndani ya ccm kwahiyo lowassa hatishi kama wengine mlibaki nao ccm
 
UKAWA wameishiwa hoja kiasi hiki? Vipanga wa CDM wako wapi kujibu shutuma za ma-CCM? Id nyingi za Pro CDM ni mpya,mbaya zaidi hakuna hoja wanazojibu.
 
Ujue serikali ya ccm ni chawa imelifungulia makusudi hili gazeti wakati huu ili kubenea aswalike juu ya Mthee mamvii. Alipokuwa ndo walikuwa wanamtumia kama fisadi mamvi! Sasa huku ni tutamnyoosha na kumfua ile roho chafu ikashndwe

Siku hivi amekuwa bubu katika mitandao ya kijamii
 
hahaha sawa mkuu

Kuna kitu sijaelewa,inakiwaje Kubenea akimbilie Kyera wakati mgombea uraisi wake yuko anafanya kampeni jirani tu na jimbo lake,je hili halikupangwa?Hakika siasa zetu mtego wa panya.
 
Back
Top Bottom