KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 18,126
- 32,812
Watu wameshajitoa akili wataongea kufurahisha mabosi wao wapya ...
Kamanda ningependa kusikia msimamo wako kuelekea mabadiliko.....
Watu wameshajitoa akili wataongea kufurahisha mabosi wao wapya ...
itabidi kubenea aiuze mwanahalisi,maana hakuna jinsi atageuka asijidharaulishe....
njaa mbaya sana wazeia......
itabidi makala hizo tuwapelekee wale wazungu wAliomuona wa maana huyu jamaa watajua kumbe njaa huwa inamsumbua anabuni mambo ya kuandika ili auze gazeti
Mkuu tukisema hawa watu waje kutengua kauli zao hahahahaha itakua hatari maana kampeni za upande mwingine itabidi zisitishwe maana walisema na kutuaminisha mambo mabaya na makubwa sana juu ya wanaomwita mkombozi. Mfano
"Atakaye mpigia kura EL akapimwe akili" Msigwa
CCM watoto wa mjini haswa...jamaa kaachiwa aje na story feki baada ya kumuondolea credibility.
Katika toleo la mwanahalisi la tarehe 6-12 april 2011 kubenea alituambia ukweli mchungu kwa #Teamdodoki.
Alisema Lowassa hasafishiki.
Tusubiri tuone atakavyofuta kauli ya Mwanahalisi.
Watu wameshajitoa akili wataongea kufurahisha mabosi wao wapya ...
Katika toleo la mwanahalisi la tarehe 6-12 april 2011 kubenea alituambia ukweli mchungu kwa #Teamdodoki.
Alisema Lowassa hasafishiki.
Tusubiri tuone atakavyofuta kauli ya Mwanahalisi.
Akiitengua utamfanya nn?Katika toleo la mwanahalisi la tarehe 6-12 april 2011 kubenea alituambia ukweli mchungu kwa #Teamdodoki.