Katika toleo la mwanahalisi la tarehe 6-12 april 2011 kubenea alituambia ukweli mchungu kwa #Teamdodoki.
Alisema Lowassa hasafishiki.
Tusubiri tuone atakavyofuta kauli ya Mwanahalisi...
Hilo ndo kosa kubwa alilofanya Mbowe...Kikwete alisema..ccm haitaki kuchukua mtu ambaye itawachukua muda mrefu kumsafisha kabla hata ya kuanza kampeni...chadema walivyo wajinga...wakamkimbilia huyohuyo...matokeoyake hadi sasa hawajaanza kampeni wako bize wanamsafisha....nadhani mpaka kutakate, itakuwa tayari October 28
Mambo ya mkapa hayatuhusu kwasasa ni wakati wa uchaguzi tunafanya comparison kati ya presidential candidates: Lowassa Vs Magufuli...Kikwete na Mkapa sio relevant kwenye uchaguzi wa 2015. Ova!Kwani Lowassa kaanza "kuchafuka" mara tu baada ya kuingia UKAWA?
Lowassa leo kawajibu kuwa ktk list ile ya watu kumi akiwepo Kikwete, Mkapa etc mbona hamuwaimbii wimbo huo huo??
tatizo la ccm inasikiliza mabush stars kama mwigulu na makamba wakati ukawa ina majemba maborn town kama mnyika,kubenea,mbowe,lowassa,tundu,mdee,mimi mwenyewe,lema nyerete,wenje
tatizo la ccm inasikiliza mabush stars kama mwigulu na makamba wakati ukawa ina majemba maborn town kama mnyika,kubenea,mbowe,lowassa,tundu,mdee,mimi mwenyewe,lema nyerete,wenje
Katika toleo la mwanahalisi la tarehe 6-12 april 2011 kubenea alituambia ukweli mchungu kwa #Teamdodoki.
Alisema Lowassa hasafishiki.
Tusubiri tuone atakavyofuta kauli ya Mwanahalisi...
Kwa hiyo ccm ilikuwa chafu 2010 na sasa inang'ara ...asante kwa jibu murua2011 Now ni 2015 , edo alikuwa ccm leo yuko ukawa, alikuwa anamsema kama mpinzani leo ni chama kimoja someni alama za nyakati na muielewe siasa unaweza ukawa mzuri kesho ikachafuka unaweza kuwa mchafu leo kesho ukang'ara
Tatizo la ccm inasikiliza mabush stars kama mwigulu na makamba wakati ukawa ina majemba maborn town kama mnyika,kubenea,mbowe,lowassa,tundu,mdee,mimi mwenyewe,lema nyerete,wenje