Nasubiri Kubenea aje kutengua kauli ya MwanaHalisi!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,034
28,201
Katika toleo la mwanahalisi la tarehe 6-12 april 2011 kubenea alituambia ukweli mchungu kwa #Teamdodoki.

Alisema Lowassa hasafishiki.

Tusubiri tuone atakavyofuta kauli ya Mwanahalisi.
 
Ujue serikali ya ccm ni chawa imelifungulia makusudi hili gazeti wakati huu ili kubenea aswalike juu ya Mthee mamvii. Alipokuwa ndo walikuwa wanamtumia kama fisadi mamvi! Sasa huku ni tutamnyoosha na kumfua ile roho chafu ikashndwe
 
CCM watoto wa mjini haswa...jamaa kaachiwa aje na story feki baada ya kumuondolea credibility.
 
Katika toleo la mwanahalisi la tarehe 6-12 april 2011 kubenea alituambia ukweli mchungu kwa #Teamdodoki.

Alisema Lowassa hasafishiki.

Tusubiri tuone atakavyofuta kauli ya Mwanahalisi...

Hilo ndo kosa kubwa alilofanya Mbowe...Kikwete alisema..ccm haitaki kuchukua mtu ambaye itawachukua muda mrefu kumsafisha kabla hata ya kuanza kampeni...chadema walivyo wajinga...wakamkimbilia huyohuyo...matokeoyake hadi sasa hawajaanza kampeni wako bize wanamsafisha....nadhani mpaka kutakate, itakuwa tayari October 28
 
Tatizo la ccm inasikiliza mabush stars kama mwigulu na makamba wakati ukawa ina majemba maborn town kama mnyika,kubenea,mbowe,lowassa,tundu,mdee,mimi mwenyewe,lema nyerete,wenje

Na Sumaye,Masha,Msindai,lembeli usiwasahau!
 
Hilo ndo kosa kubwa alilofanya Mbowe...Kikwete alisema..ccm haitaki kuchukua mtu ambaye itawachukua muda mrefu kumsafisha kabla hata ya kuanza kampeni...chadema walivyo wajinga...wakamkimbilia huyohuyo...matokeoyake hadi sasa hawajaanza kampeni wako bize wanamsafisha....nadhani mpaka kutakate, itakuwa tayari October 28

Kwani Lowassa kaanza "kuchafuka" mara tu baada ya kuingia UKAWA?
Lowassa leo kawajibu kuwa ktk list ile ya watu kumi akiwepo Kikwete, Mkapa etc mbona hamuwaimbii wimbo huo huo??
 
Mambo ya mkapa hayatuhusu kwasasa ni wakati wa uchaguzi tunafanya comparison kati ya presidential candidates: Lowassa Vs Magufuli...Kikwete na Mkapa sio relevant kwenye uchaguzi wa 2015. Ova!
 
2011 Now ni 2015 , edo alikuwa ccm leo yuko ukawa, alikuwa anamsema kama mpinzani leo ni chama kimoja someni alama za nyakati na muielewe siasa unaweza ukawa mzuri kesho ikachafuka unaweza kuwa mchafu leo kesho ukang'ara
 
tatizo la ccm inasikiliza mabush stars kama mwigulu na makamba wakati ukawa ina majemba maborn town kama mnyika,kubenea,mbowe,lowassa,tundu,mdee,mimi mwenyewe,lema nyerete,wenje

kaka , lini na wapi ukawa na chadema wametumia muda wote kumsafisha lowasaa badala ya kufanya kampeni?
Kama dokita chlaah kashindwa kumchafua, nani ataweza?
 
tatizo la ccm inasikiliza mabush stars kama mwigulu na makamba wakati ukawa ina majemba maborn town kama mnyika,kubenea,mbowe,lowassa,tundu,mdee,mimi mwenyewe,lema nyerete,wenje

hahahahah....kaka na mimi umenisahau kwny hao maborn town!!!!
 
kubenea hafuti kauli ya mwanahalisi kwani kauli hiyo imefutwa na sisi wapiga kura tunaomkubali lowassa ije mvua au lije jua. ninyi mtabaki kusema hasafishiki lakini sisi tuna imani naye
Katika toleo la mwanahalisi la tarehe 6-12 april 2011 kubenea alituambia ukweli mchungu kwa #Teamdodoki.

Alisema Lowassa hasafishiki.

Tusubiri tuone atakavyofuta kauli ya Mwanahalisi...
 
2011 Now ni 2015 , edo alikuwa ccm leo yuko ukawa, alikuwa anamsema kama mpinzani leo ni chama kimoja someni alama za nyakati na muielewe siasa unaweza ukawa mzuri kesho ikachafuka unaweza kuwa mchafu leo kesho ukang'ara
Kwa hiyo ccm ilikuwa chafu 2010 na sasa inang'ara ...asante kwa jibu murua
 
Hii movie Kali sana aiseee maana kubenea alivyokuwa anamchafu lowasa
Sasa sijui atakuwa na sura gani machoni pa wananchi!!!!

Sisiemu ni maninja aiseeee
 
Tatizo la ccm inasikiliza mabush stars kama mwigulu na makamba wakati ukawa ina majemba maborn town kama mnyika,kubenea,mbowe,lowassa,tundu,mdee,mimi mwenyewe,lema nyerete,wenje

We utakuwa mkongwe kama mimi.
Tatizo story za Hammie Rajab na John Kaduma zimekuharibu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom