Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!
Darubini, wasanii muweke akilini hasa kwa mtu makini.
ɐʇǝןnʞ ɐן ǝuıbuıן ɐʇnɟɐʇ ɐʍɥɔıʞ ɐzıɯn'ɐuɐɯ ɐu ozısız sʇsod nʇ ɐzɐظɐun'ıbuıʎu ɐɹɐɯ ɐuɐs ɐʍıןıpɐظǝɯı nɥsı ııɥ
Junior Member Array
Join Date : 8th May 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given
Bisha hodi kwanza..........................., nakukaribisha jamvini
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO.
Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!

Kwa mfano, kama kaskazina wakitaka kujitenga whats the effect? Even during independence Northen ilitaka kuwa nchi huru!
A stupid thread
Mkuu Mwakalinga siku hizi una comment as if unakaribia kuvaa gwanda au ni macho yangu.Hii akili nyingi uliyopoteza na muda kuandika hii hadithi ya kusadikika ,laiti ungeitumia na huo muda kwa shughuli za uzalishaji ungelisaidia taifa kwa kiwango cha juu sana.
Mbona hujazungumzia kitendo cha CCM wanachokifanya/walichokifanya cha kuyagawa majimbo pindi wanapoona upinzani unawazidi ili wawe na viti vingi vya ubunge bungeni.! ?