Nassari wa Arumeru Mashariki kushtakiwa kwa uhaini? Anatafutwa na Polisi

Ronn M

JF-Expert Member
May 2, 2012
1,279
0
Kwa mfano, kama kaskazina wakitaka kujitenga whats the effect? Even during independence Northen ilitaka kuwa nchi huru!
 
Ba'mdgo

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
230
170
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!aaaaaaaaaah! labda tukukaribisha tu, m2 mwenye ndo kwanza post yako ya kwanza. angia basi kwa kichwa kuliko kuananza kwa kuingia kwa miguu yote miwili, bado una mda wa kujifunza
 
Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
3,151
1,195
Junior Member Array

Join Date : 8th May 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given

Bisha hodi kwanza..........................., nakukaribisha jamvini

Kuna watu wanafukiri JF ni Majuha kwa sababu post kama hizi.
 
jossy chuwa

Member
Apr 4, 2012
93
0
Nikionacho mimi pale ulipo kama cdm haipo basi ianzie na wewe.. ni utumbo kutamka hovyo kuwa ni chama cha kaskazini. je ccm? je cuf? Inawezekana wameona mahali watu wanataka mabadiliko na wasio vigeu geu wakaona waanzie hapo then mdogo mdogo hadi ulipo wewe gamba chakavu na chafu wakuvue wakuvalishe gwanda lisilochakaa wala kushika uchafu hovyo!
 
Kakulwa P

JF-Expert Member
Feb 8, 2012
200
0
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!

Wewe umetokea wapi hata hujui namna ya kuingia, basi tunakushauri uondoke humu nenda kwenye UDAKU, au umetumwa na wale wanaolala usingizi mjengoni udenda ukiwatoka wakiulizwa hujibu kuwa wanatafakari.
TOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOKA HAPA MNAFIKI MKUBWA
 
Trustme

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,170
0
Nimeipenda hii pamoja na comments za Candid Scope.
CDM wasidhani kwa mafuriko waliyopata katika mikutano yao basi watu wengine hawaoni fallacy ya wabunge wao vijana.
Stay tuned , kuna watu wengi zaidi nchini, wenye nchi yao, na ambao wasingependa umoja na utaifa wao ukachezewa na mtu yeyote yule.
Namsifu Mhe Mbowe kwa kuchukua hatua za mwanzo na za haraka kutoa kauli za kusahihisha mawazo potofu yanayotokana na kulewa sifa.

Na hapo ndio nasema CDM lazima wawe na vyuo vyao vya ingalau kuwafundisha makada wao ili wajue siasa ni nini, waweza kuwasha moto kwenye siasa na ukakuwakia na kukuunguza mwenyewe.

Acha hisia za chuzi rafiki! Mbona Mbuge wa tarime kupitia CCM sjui wanamwita Chacha, aliwai kusimama bungeni na kusema kama wamiliki wamigodi hawatanunua nyanya na mboga mboga kutoka kwa wananchi walio jirani na mgodi yeye mwenyewe atachukua panga na kuwaongoza wananchi kuwacharanga charanga wawekezaji hao! Mbona hata hamkusema? Angekua mbuge wa CDM mngesema amelewa madaraka! Hata kama ana immunite ya kuongea yale maneno yangepaswa kukemewa kama kweli mnataka taifa lenye amani! Lakin limesemwa na CCM basi sio kosa, huu ni upuuzi ambao haukubaliki na wapenda amani ya kweli!
 
Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,008
2,000
Miaka ile ya 90 - form one tulikuwa tunawaita NYUKA, Lakini headmaster (Marehemu Ishengoma - wa Kahororo sec) alifafanua maana ya neno hilo kuwa ni New Comer = NYUKA;
KWA PAMOJA TUMKARIBISHE NYUKA WETU JAPO NI MBEGU YA MAGAMBA YA CCM
Kauli mbiu ni "VUA GAMBA VAA GWANDA"
 
Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
0
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!

Karibu tuchome!
 
samora10

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
7,550
2,000
Hii ya Nassari nayo ni Ishu?? Nenda Rombo wao walipandishaga bendera Ya kenya kabisa
 
idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
24,141
2,000
Ukisoma kwen
ye blog ya CHADEMA Chadema Blog inaelekea tatizo la Nassari siyo kauli yake ya kujitenga bali hili:

"Polisi hao wanadai pia kukerwa na maneno ya Nassari aliyemtuhumu mtoto wa Rais, Ridhwan Kikwete, kuwa anawapeleka wasichana rafiki zake kwa baba yake ambaye huwapa vyeo kwa upendeleo"

Sasa turudi kwenye ukaribu wa mkuu wa mkoa wa Arusha na familia!

chadema ikichukua nchi ndio tunategemea wawe mawaziri. na ubaya kauli za wanasiasa huwa hazisahauliki....dogo janja punguza mzuka chunga kauli zako zitaigharimu chadema na sisi wapenda mageuzi. Vita yetu kuu ni kujitenga dhidi ya ccm na tunaelekea kushinda mda sio mrefu. Tunahitaji kampeni za kuunganisha vijana wote tanzania dhidi ya dhalimu ccm..
 
Mujwahuzia

Senior Member
Nov 17, 2011
137
0
Kwa vile chama cha Mapinduzi CCM kinapenda kutawala hadi milele fanyeni mazuri basi wtz tuzidi kuwapenda badala ya haya madudu mnayoyafanya sasa chini ya utawala wa ccm viongozi wengi wana kashifa nyingi ya kuhujumu mapesa ya lipa kodi masikini tutawapenda vipi wakati kila uchao kilio kwa wtz hali ngumu ya maisha.pumzikeni na wengine watawale tuwaone wanavyoweza kuwasaidia jamii ambayo haijaonja madunda ya uhuru huu. Mujwahuzia
 
seniorita

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
674
0
ameona JF ni mahali pa ku-jifunzia kuandika....msameheni tu huyu jamani....but lazima aangalie kuweka statements ambazo hana expertise nazo...
 
masopakyindi

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
15,225
2,000
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!

Asante mkuu kwa mawazo freshi!

Usiwasikilize hao watoto ambao wametoroka shule kwa vijembe vyao, wataishia kuwa manamba kwani hawaonyeshi dalili zozote za kutumia vivhwa vyao kufikiri cha kuongea.

Kiufupi sakata hili la CDM na Arusha imekula kwao,wasifikiri watanzania kukaa kimya ni kukubaliana nao.
Kwa muda huu hao vibaka wamhimize Mheshimiwa anayetafytwa na polisi ajisalimishe.
Yale yale ya Lema, ujanja mwingi unaishia kujifunga goli la kisigino.
 
Trustme

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,170
0
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!

Huna wazo mbadala? Du!! kweli kama hujui unakoenda njia yoyote itakufikisha huko. Naona umepotea njia ukafika kwenye jukwaa la siasa! Nakushauri uendelee kutembea utafika kwenye jukwaa la JOKES ndiko kunakufaaa mdogo wangu! Unafika kwa baba hata hodi hupigi? Inaelekea CCM hawana adhabu kabisaa kama makambale, baba sharubu, mama sharubu na mtoto sharubu, hakuna wakumwongoza mwenzake. KAJIPANGE
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom