Nassari wa Arumeru Mashariki kushtakiwa kwa uhaini? Anatafutwa na Polisi

silvemaps

Member
Mar 26, 2012
46
0
Unajua ukichanganya bangi na sigara ndiyo madhara yake hayo.mtu anakurupuka tu na kuongea kama mlevi hivi.
 
seniorita

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
674
0
a good and polite advice: when you go to a community (such as JF), you need to learn first....see what you are able to see on the outside-which is easy...but before you engage, continue to peel the onion until you see the values, the reality, and the truth about such a community. Usibweteke tu rafiki....enter the worldview of the people with humility and understanding
 
chitambikwa

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,941
2,000
wanafiki wana mwisho , ungejiunga wakati wa uchaguzi wa arumeru labda ungefanikiwa kukivunjavunja c.....c.........m
 
Smartboy

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,110
1,250
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!

akili fupi kama maisha ya funza.
 
Henge

JF-Expert Member
May 14, 2009
6,939
2,000
ɐʇǝןnʞ ɐן ǝuıbuıן ɐʇnɟɐʇ ɐʍɥɔıʞ ɐzıɯn'ɐuɐɯ ɐu ozısız sʇsod nʇ ɐzɐظɐun'ıbuıʎu ɐɹɐɯ ɐuɐs ɐʍıןıpɐظǝɯı nɥsı ııɥ

mkuu mpaka nigeuze coputer bana duuu!
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,979
2,000
Tatizo Jf kuna mlango wa kuingilia tu. They don't ommit membership. Huyu anaonekana alipigwa ban kajisajili kwa ID nyingine.
Junior Member Array

Join Date : 8th May 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given

Bisha hodi kwanza..........................., nakukaribisha jamvini
 
Henry Kilewo

Verified Member
Feb 9, 2010
898
250
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO.

Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!

Hapa umeweka ukada wako mbele kuliko hoja uliyoileta.... so kalale kwanza ukiamke huenda ukwa na wazo jipya..... chadema ni chama makini kuliko unavyodanganywa.
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,979
2,000
Mtu mwenyewe kajiunga leo!
Hapa hanyaki kitu
ɐʇǝןnʞ ɐן ǝuıbuıן ɐʇnɟɐʇ ɐʍɥɔıʞ ɐzıɯn'ɐuɐɯ ɐu ozısız sʇsod nʇ ɐzɐظɐun'ıbuıʎu ɐɹɐɯ ɐuɐs ɐʍıןıpɐظǝɯı nɥsı ııɥ
 
ELIESKIA

Senior Member
Jul 21, 2011
120
170
kwhy rais akiwa nassari na wazir mkuu akiwa lema hao wengine wafanye kina mbowe,slaa wewe nani achen hizo ni ajali ya ulimi
 
NG'OMBE

JF-Expert Member
Mar 26, 2011
362
170
polisi yote imejaa majuha, labuda huyo Nchimbi atalibadilisha lakini yule aliyeng'olewa pale ameliharibu jeshi hilo na kuwa halina maana.
 
Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,723
2,000
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO.

Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!

Hii akili nyingi uliyopoteza na muda kuandika hii hadithi ya kusadikika ,laiti ungeitumia na huo muda kwa shughuli za uzalishaji ungelisaidia taifa kwa kiwango cha juu sana.

Mbona hujazungumzia kitendo cha CCM wanachokifanya/walichokifanya cha kuyagawa majimbo pindi wanapoona upinzani unawazidi ili wawe na viti vingi vya ubunge bungeni.! ?
 
Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,614

6a00d8341ccad453ef01156f2cfebe970c-800wi.jpg
 
hasan124

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
716
170
Ni vyema busara ikatumika hapa hasa kwa polisi kwani muamko WA RAIA pande zile ni balaa asilimia Kubwa ni cdm cdm Magamba hawana chao zaidi wanaforce tu! Na Nasari ingependeza sana Kama ukachuja aina ya maneno unayotumia coz sio kila mjinga ni mpumbavu na ogopa sana mjinga akierevuka na kukugunduka kuwa si lolote si chochote utajuta. Jipange kijana
 
Vato

JF-Expert Member
Feb 15, 2009
232
195
Kwa mfano, kama kaskazina wakitaka kujitenga whats the effect? Even during independence Northen ilitaka kuwa nchi huru!

..kaskazini wakijitenga, kusini wakafuatia, mashariki njao wakidai uhru wao na magharibi nao wakasema we are fed up...nini kitabaki????????? ile nchi ambayo mababu zetu waliikomboa kutoka katika ukoloni jna kuturithisha ikiwa huru, yenye upendo, umoja, amani na msikamano itaenda wapi???? Tanzania itaenda wapi???? waafrika ndio maana tunaitwa barbarians na watu wa bara la gioza...wakati mmarekani leo anazungumzia kudumisha muungano wake na kuwekeza katika sayansi ili ajenge uchumi imara, wajinga wachache Zanzibar na Tanzania bara wanakaa kujadili Zanzibar ijitenge, na wengine wanasema Kanda ya kaskazini ijitenge...huu ni ujinga, ni akili mgando hizi...umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, walisema hivyo mababu zetu..
 
Wingu

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,322
1,225
Kama kujitenga hospital kubwa tunayo kcmc,bonge la uwanja wa ndege kia.Bandari tutatumia mombasa.Vyuo vipo vya kumwaga nini tunataka hatuna?Madini tunayo,watalii wa kumwaga ngoja tuangalie upepo unavyovuma
 
Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,994
1,500
Hii akili nyingi uliyopoteza na muda kuandika hii hadithi ya kusadikika ,laiti ungeitumia na huo muda kwa shughuli za uzalishaji ungelisaidia taifa kwa kiwango cha juu sana.

Mbona hujazungumzia kitendo cha CCM wanachokifanya/walichokifanya cha kuyagawa majimbo pindi wanapoona upinzani unawazidi ili wawe na viti vingi vya ubunge bungeni.! ?
Mkuu Mwakalinga siku hizi una comment as if unakaribia kuvaa gwanda au ni macho yangu.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom