Nassari: Mungu aibariki Tanzania!

Nassari: Mungu aibariki Tanzania!

magamba ni magamba tuu
hivi nyie uwa mnayajua MAISHA YA KITANZANIA kweli au kukulia nje mnaona EVERY THING IZ FINE

ngojen 2015 hakuna cha gamba mzee au gamba kijana

peopleeeeeeez........
 
- Mkuu na wewe una makengeza? Mbona hukusema huko upande wa pili mbona nako kuna wazee na watoto wao, wazee nma wakwe zao, wazee na wake zao, hii sio hoja tena Tanzania siku hizi cause ipo kote kote na inakuibalika!, kama ni ishu basi tusafishe pande zote!

William.

Mkuu sio siri angali secretariet ya vyama vyote viwili ndio utajua ni kipi kinapandikiza urithi yena wa ukoo mmoja
 
- At least kuna tulioenda Hospitali kuwaona I hope na wewe ulikwua mmoja wapo!

William.
Kuwaona hospitali si hoja kinachotakiwa ulikemea nini kitendo hicho ili kisirudiwe tena, leo unataka kuwaomba kura kama si unafiki ni nini.
 
- Well, heshima mbele sana wakuu wote JF, nipo Dodoma toka majuzi kwenye ukingo wa mbio za Ubunge wa EAC, jana usiku Royal Hotel nilifanikiwa kukutana uso kwa uso na Mbunge Mpya wa Chadema Kamanda Nassari, na leo tena Bungeni nimeshuhudia kuapishwa kwake na pia kupata muda wa kuongea naye na kupiga sana picha naye, I was glad kujua kwamba ni M-JF!

- HOWEVER: Ninasema hivi in Ubunge wa Nassari, ni ushindi kwa Vijana I mean the kid is just 26 years old, and here he is leading, hebu look back ulipokuwa 26 years old then ulikuwa wapi na unafanya nini? ndio utaelewa kwamba sasa ni wakati wa Vijana, sasa hii dhana ya Vijana iende kwenye kona zote za Taifa, it does not matter Nassari anatoka chama gani, it is the message ya the big picture hapa TAIFA KWANZA!

- MUCH RESPECT CDM, SALUTE NASSARI! NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.

Mkuu kama umepiga picha zirushe hapa JF!
Nakuunga mkono kwenye umri kaka! hebu niambie maoni yako kuhusu umri wa urais tafadhari!
 
Baada ya Ipyana nn kilifuata kwenye family yenu kama c mtiririko wa vyeo wakiwemo dada zako!!! Anyway saivi mtoeni kafala Samuel...
Imani za aina hii ni hatari sana katika jamii. Kama unajua kwa kufanya hivi vyeo vinatiririka kwenye familia, si uchague na wewe mmoja kwenu mmtoe kafara ili mpate hivyo vyeo? Au kwenu hamjawahi fiwa na mtu katika familia? Jiulize na wewe ukiambiwa yule dadako, au mjomba wako au kakako aliyefariki alitolewa kafara ili wewe usome itakuwaje?

Huwa sipati kabisa connection kati ya mtu kufariki katika familia na mafanikio ya familia. Ukishaona una imani za aina hii basi kuna mawili; ama wewe ni mshirikina au umeshindwa kabisa kupambana kimaisha na unaamua kuneutralize kwa kuseama waliofanikiwa, mafanikio yao yametokana na kifo cha mwanafamilia.
 
Kuwaona hospitali si hoja kinachotakiwa ulikemea nini kitendo hicho ili kisirudiwe tena, leo unataka kuwaomba kura kama si unafiki ni nini.

- Siwezi kukemea anything bila FACTS, nikihitaji kura za CDM ninawaomba wenyewe kama chama oficially wameniomba CV kwanza na wengine wote wagombea, ninawaheshimu sana CDM kama ninavyoheshimu CCM, siamini CDM wana utaratibu wa kutoa kura kwa kupitia mitandao!


William.
 
That's why I said tuangalie uwezo na sio ujana kama kigezo, kwenye issue za ubunge does not matter we even give a chance for someone for a try.., (ila kwa issue za uwaziri na kazi zenye majukumu makubwa) lazima tuangalie umefanya nini hata kama ni kijana (lazima tuone track record yako) na sio tu utokee from nowhere to somewhere.

Mfano kuna mawaziri ambao wapo sasa hivi wamepewa hivi vyeo I have raised my eyebrows (not because of age, but because what did they do before..) sio tu unatoka shule tayari unakuwa waziri..., you need to start from the bottom

Kweli kabisa Sun Wu....Nchi tumeikabidhi kwa mabazazi....Kijana Malima, kakutwa na bunduki ya rashasha ambayo inatumika vitani tu na hajachukuliwa hatua zozote. Kijana huyo huyo Malima alikwenda kwa mkutano Arusha alipopokelewa na Toyota Landcruiser hardbody akakataa kupanda akidai yeye haendi kuwinda....mkuu wa mkoa akamtumia shangingi lake (ufujaji wa mali za umma)...Ngereja alikwenda mapumziko ukerewe bili akapeleka Tanesco, meneja akagoma kulipa , Ngereja akaamuru afukuzwe kazi. Busara za Regional Manager akamuhamishia Tabora. Uliza polisi yoyote Mwanza na Kilimanjaro atakwambia jinsi Masha alivyo watesa alipokuwa Waziri wa manbo ya ndani...The bottom line vijana wa magamba ni wabaya sana kuliko wazazi wao....
 
- Well, heshima mbele sana wakuu wote JF, nipo Dodoma toka majuzi kwenye ukingo wa mbio za Ubunge wa EAC, jana usiku Royal Hotel nilifanikiwa kukutana uso kwa uso na Mbunge Mpya wa Chadema Kamanda Nassari, na leo tena Bungeni nimeshuhudia kuapishwa kwake na pia kupata muda wa kuongea naye na kupiga sana picha naye, I was glad kujua kwamba ni M-JF!

- HOWEVER: Ninasema hivi in Ubunge wa Nassari, ni ushindi kwa Vijana I mean the kid is just 26 years old, and here he is leading, hebu look back ulipokuwa 26 years old then ulikuwa wapi na unafanya nini? ndio utaelewa kwamba sasa ni wakati wa Vijana, sasa hii dhana ya Vijana iende kwenye kona zote za Taifa, it does not matter Nassari anatoka chama gani, it is the message ya the big picture hapa TAIFA KWANZA!

- MUCH RESPECT CDM, SALUTE NASSARI! NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.

Malecela mawazo yako yako kiukombozi lakini uko katika chama kinachoendeleza ukoloni mamboleo katika nchi ya watanganyika. Kama kweli una nia ya dhati ya kuwasaidia watu wako huko uliko hakukufai hata kidogo hamia Chadema ndoto zako zitatimia ama sivyo utakluwa unafanya usanii. Usiogope kuondoka kwa magamba kwa sababu baba yako ni gamba, wewe hutakuwa wa kwanza kufanya hivyo, amka kijana hujachelewa!
 
mi sikatai kuwa ni kijana ila baba zenu kina malecela na wengineo ndo wameua ndoto zetu mpaka leo mwaka wa 4 tumemaliza vyuo vikuu hatuna hata tempo ya kufundisha primary schools kutwa tunashinda JF na neti za kuchakachua

nyie mmekulia mliokulia nje baba zenu wanawachomeka chomeka tu kwenye nyadhifa ovyo ovyo.. p*mb*vu zenu we unafikiri uyo nassari hakuhujumiwa mwaka 2010?? kinachokufanya umshangilie leo ni nini na umagamba wenu...

uyo uyo dingi yako aliyeshindwa na lusinde baada ya kushindwa tu akafukia visima vyote alivyowachimbia wana mtera
sasa kama mtoto wa nyoka sio nyoka ni nini??

au unataka kutuambia una mfill sana nassari kuliko dingi yako??

tukukuuliza mapungufu ya dingi yako uko tayari kuyaataja??

na ngojen 2015 wwe, january makamba, hussei mwinyi, riziwan kikwete na wengine ndo kushnei...

nepotism bongo kwisha sahau
 
Good Message kamanda.Kila la kheri.Narudia tena kukuomba mwaka 2015 nenda Mtera kamtoe yule mhuni anayejiita Mbunge Lusinde.Anaidhalilisha sana Mtera na anawafanya vijana wote wapuuzwe kwa sababu ya maneno yake ya kipumbavu.William nenda Mtera na tutakuunga mkono NO matter unatokea chama gani.Read my words ana I mean it!

Hakuna adui wa kudumu kwenye siasa kama ambavyo hakuna rafiki wa kudumu kwenye siasa. Hayo hapo juu ni maneno ya Molemo akimpa shavu mwana Magamba!!! Kisa, Wiliam kamsifia Nasari!
 
- Mkuu na wewe una makengeza? Mbona hukusema huko upande wa pili mbona nako kuna wazee na watoto wao, wazee nma wakwe zao, wazee na wake zao, hii sio hoja tena Tanzania siku hizi cause ipo kote kote na inakuibalika!, kama ni ishu basi tusafishe pande zote!

William.
Haya sasa hawa ndio unategemea wakupigie kura, unawabeza kesho unataka kura zao, lakini kwenye siasa anything is posible.
 
Tukiwa na tofauti ya kimawazo na watu tusitukane familia na watu ambao hawahusiki katika mijadala.Tujifunze utu na heshima kwa familia za watu

- Mkuu wangu sana Ben, usijali sana mkuu unajua kutumikia taifa ni wito toka kwa Mungu, sasa in the process ya kuelimishana ni lazima ukutane na vikwazo kama hivi, sasa unafanya nini unakimbia na kuacha kuelemisha na huku unaona kabisa kuwa maneno ya member yanaonyesha anahitaji elimu! No unaenda naye hivyo hivyo na kumuelimisha mpaka somo lieleweke! Ben hii kazi ya wananchi mimi na wewe hatukuiomba so hawa wengine tuwabebe tu na kuwavumilia mkuu wangu I mean hawa ni kelele za mlango!

William.
 
Back
Top Bottom