Nassari: Mungu aibariki Tanzania!

Mimi siwezi kuamini huu upenzi kwa kutumia mgongo wa ujana, juzi wabunge wamekatwa mapanga, vijana wamemwagiwa tindikali AM hatujasikia kina Mwigulu, Nape, Januari wala wewe mnaojipambanua kuwa ni vijana wa CCM kukemea. Tusidanganyane mchana.

- At least kuna tulioenda Hospitali kuwaona I hope na wewe ulikwua mmoja wapo!

William.
 
Jiunge na chama la washindi fasta sasa, unangoja nini? Siasa sio kama kabila kwamba kwa vile Mzee JSM ni mgogo nawe umezaliwa na kabila hilo, huku unafuata tu kule ambako kuna muelekeo wa ukombozi. 2015 inaweza kuwa too late kwako kujiunga na washindi na hivyo ukakosa fursa ya kuchangia maendeleo chanya kwa taifa lako. Au hupendi nasisi huku tuanze kuachana na hizi barabara za vumbi tutembee kwenye full rami na treni za chini kwa chini kama @NYC, kwani tuna laana gani zaidi ya laana ya kuiweka CCM madarakani?
 
Enzi zetu tulilemazwa kwa kurubuniwa kuwa, eti vijana ni Taifa la KESHO
 
- - HOWEVER: Ninasema hivi in Ubunge wa Nassari,
ni ushindi kwa Vijana I mean the kid is just 26 years old, and here he is leading,
hebu look back ulipokuwa 26 years old then ulikuwa wapi na unafanya nini? ndio utaelewa kwamba sasa ni wakati wa Vijana, sasa hii dhana ya Vijana iende kwenye kona zote za Taifa, it does not matter Nassari anatoka chama gani, it is the message ya the big picture hapa TAIFA KWANZA!

- MUCH RESPECT CDM, SALUTE NASSARI! NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.

Sasa William kama unajua huu ni wakati wa Vijana wewe na uzee wako wa miaka 51 UNATAKA kutuaminisha nawe ni kijana, hahahaaaah pole sana, ujana wako ulimalizia wapi.

 
- Hata kusoma yote nimeshindwa Great Thinker, sometimes muwe mnafikiri japo for one minute kwamba sio kwamba Dunia nzima in walevi walevi kama wewe, I mean a Great Thinker? ha! ha! ha! ha!


Willie!
Siyo mlevi amekwambia ukweli.
 
wiliam,kumbuka watoto wa viongozi wa nchi hii akili zao zinafanana na baba zao.mfano=
mwinyi
kawawa
kigoma malima
msuya
lusinde
gama
kingunge
mongela
nchimbi
nnauye
nk

hivyo watoto wa viongozi hawana nia ya dhati na nchi hii kifupi hawana tofauti na baba zao.
chadema tunasema watoto wa masikini ndio wataikomboa nchi hii mf=
mdee
nasari
lema
wenje
silinde
mnyika
zito
machemli
sugu
opulukwa
nk.

kama unataka kueleweka ondoa wazo la kuungwa mkono na wana chadema.
 
Baada ya Ipyana nn kilifuata kwenye family yenu kama c mtiririko wa vyeo wakiwemo dada zako!!! Anyway saivi mtoeni kafala Samuel...
 
mi sikatai kuwa ni kijana ila baba zenu kina malecela na wengineo ndo wameua ndoto zetu mpaka leo mwaka wa 4 tumemaliza vyuo vikuu hatuna hata tempo ya kufundisha primary schools kutwa tunashinda JF na neti za kuchakachua

nyie mmekulia mliokulia nje baba zenu wanawachomeka chomeka tu kwenye nyadhifa ovyo ovyo.. p*mb*vu zenu we unafikiri uyo nassari hakuhujumiwa mwaka 2010?? kinachokufanya umshangilie leo ni nini na umagamba wenu...

uyo uyo dingi yako aliyeshindwa na lusinde baada ya kushindwa tu akafukia visima vyote alivyowachimbia wana mtera
sasa kama mtoto wa nyoka sio nyoka ni nini??

au unataka kutuambia una mfill sana nassari kuliko dingi yako??

tukukuuliza mapungufu ya dingi yako uko tayari kuyaataja??

na ngojen 2015 wwe, january makamba, hussei mwinyi, riziwan kikwete na wengine ndo kushnei...
Well said mkuu acha wanaoendelea kumlamba lamba wamlambe.
 
Sasa William kama unajua huu ni wakati wa Vijana wewe na uzee wako wa miaka 51 UNATAKA kutuaminisha nawe ni kijana, hahahaaaah pole sana, ujana wako ulimalizia wapi.


- Samahani sana sijafikia huo umri, pole sana na hizo chuki na wivu usio na mipaka! ha! ha! ha! ha! ha!

William.
 
- Hapana, ni kawaida kwamba kwenye kila Vijana 10 watatu wataharibu, sasa haimaanishi kwamba Vijana wote hawafai Tanzania tuanze sasa kuikubali dhana ya vijana bila exceptions!

William.

That's why I said tuangalie uwezo na sio ujana kama kigezo, kwenye issue za ubunge does not matter we even give a chance for someone for a try.., (ila kwa issue za uwaziri na kazi zenye majukumu makubwa) lazima tuangalie umefanya nini hata kama ni kijana (lazima tuone track record yako) na sio tu utokee from nowhere to somewhere.

Mfano kuna mawaziri ambao wapo sasa hivi wamepewa hivi vyeo I have raised my eyebrows (not because of age, but because what did they do before..) sio tu unatoka shule tayari unakuwa waziri..., you need to start from the bottom
 
Kama Willie unatumia ujana kupata ubunge basi umepotea....ila kama unauwezo basi karibu mjengoni nenda Mtera au Dar piga kampeni bila kutumia nguvu ya mkwanja na dola tukupime kwa uwezo wako wa kutetea hoja . Najua huo ubunge wa EA nyie magamba mtapeana tu regardless ya uwezo kwa mnautumia wingi wenu mjengoni kupisha pumba zenu...Mwigulu, Nape, Lusinde, Mongela, Mulongo nk wote ni viongozi vijana lakini hawana mashiko kwani ni bora viongozi wa miaka ya 60 waliokuwa na shule ndogo lakini walikuwa makini. Kwa mfano Mulongo anajulikana kwa ubabe na unazi kwa Magamba ...sio wazalendo na wapigania usawa.....Magamba wote mko sawa tu.....
 
Baada ya Ipyana nn kilifuata kwenye family yenu kama c mtiririko wa vyeo wakiwemo dada zako!!! Anyway saivi mtoeni kafala Samuel...

- Mtu yoyote anweza kusema haya mkuu, ila mtu mwenye akili timamu hawezi na ninakusikiliza kwa sababu ninaamini sana in Demokrasia, yaani hata wewe unaruhusiwa ksuema haya na kusikilizwa!

William.
 
wiliam,kumbuka watoto wa viongozi wa nchi hii akili zao zinafanana na baba zao.mfano=
mwinyi
kawawa
kigoma malima
msuya
lusinde
gama
kingunge
mongela
nchimbi
nnauye
nk

hivyo watoto wa viongozi hawana nia ya dhati na nchi hii kifupi hawana tofauti na baba zao.
chadema tunasema watoto wa masikini ndio wataikomboa nchi hii mf=
mdee
nasari
lema
wenje
silinde
mnyika
zito
machemli
sugu
opulukwa
nk.

kama unataka kueleweka ondoa wazo la kuungwa mkono na wana chadema.
Sidhani kama wabunge wa CDM wamesahau mzee Malecela alivyohusika kuhujumu kura za Igunga, iwapo wakimpa kura mtoto wake basi wanazikubali sera za kucharangwa mapanga.
 
wiliam,kumbuka watoto wa viongozi wa nchi hii akili zao zinafanana na baba zao.mfano=
mwinyi
kawawa
kigoma malima
msuya
lusinde
gama
kingunge
mongela
nchimbi
nnauye
nk

hivyo watoto wa viongozi hawana nia ya dhati na nchi hii kifupi hawana tofauti na baba zao.
chadema tunasema watoto wa masikini ndio wataikomboa nchi hii mf=
mdee
nasari
lema
wenje
silinde
mnyika
zito
machemli
sugu
opulukwa
nk.

kama unataka kueleweka ondoa wazo la kuungwa mkono na wana chadema.

- Mkuu na wewe una makengeza? Mbona hukusema huko upande wa pili mbona nako kuna wazee na watoto wao, wazee nma wakwe zao, wazee na wake zao, hii sio hoja tena Tanzania siku hizi cause ipo kote kote na inakuibalika!, kama ni ishu basi tusafishe pande zote!

William.
 
Sidhani kama wabunge wa CDM wamesahau mzee Malecela alivyohusika kuhujumu kura za Igunga, iwapo wakimpa kura mtoto wake basi wanazikubali sera za kucharangwa mapanga.

- Malecela hakuenda Igunga, aliyekwenda ni Mkapa, jamani hata kufanya utafiiti kidogo huwezi na wala humuogopi Mungu bro?

William.
 
William, ni kweli kabisa. Ukiacha siasa pembeni, vijana ndiyo wanatakiwa wawe chachu ya majibu ya matatizo yaliyopo kwenye jamii zetu.
Ukiangalia kwa makini nchi zilizoendelea, ziko makini sana kuwatumia vijana kuendeleza nchi zao, kwetu sisi vijana wengi wanapiga soga vijiweni, au wanakuwa stressed na serikali kwa kuwanyima fursa, baadhi wanashawishika kufanya kazi za wazee, na wazee wameng'ang'ania kazi za vijana which is wrong.

Hope in the next few years, tutakutana na vijana wengi kwenye idara karibu zote za serikali. Wazee wabakie kwenye zile ngazi za juu zaidi kuwasaidia vijana.
 
Back
Top Bottom