N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 561
Ile bendera ina thamani ya Tsh. 200,000 na usheee?
Wapi nilisema nina chuki na chadema kama siyo Una ubongo Wa samaki. Ninayachukia matendo ya vurugu yanayotendwa na viongozi Wa chadema kufanya siasa za vurugu na. chuki
nahuyo
ndo mnavyojipa moyo umetoka lini mirembe mkuuCCM imeshindwa kwa asilimi 72.8
Mbipu Kova basi, wakati ukichoma hebu mtumie picha kwa wassapu!... Kuchoma Bendera Tu? Mbona Nimezichoma Sana Za Ccm?
bendera ipi hiyo hata 400 haifiki acha uwongoIle bendera ina thamani ya Tsh. 200,000 na usheee?
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (CHADEMA) jana alifikishwa Mahakama ya Mwanzo Maji ya Chai na kusomewa shtaka la uharibifu wa mali na kuchoma bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), yenye thamani ya Sh laki mbili na elfu tano.
Mbunge huyo alisomewa shtaka hilo mbele ya Hakimu, David Mwita.
Ilidaiwa na upande wa mashitaka kuwa juzi saa 11:00 jioni Mbunge huyo alichoma bendera za CCM kwa makusudi zenye thamani ya Sh 205,000 huku akijua kuchoma bendera hiyo ni ukiukwaji wa kanuni na sheria za nchi.
Hata hivyo, Nassari alikana kuchoma bendera hiyo na kupewa dhamana, ambapo wadhamini watatu walijitokeza na kusaini bondi ya Sh milioni 1.5.
Mbunge huyo anatetewa na mawakili watatu, ambao ni James Millya, Charles Adiel na Marceline Bandiye. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Desemba 24, mwaka huu.
Chanzo: Gazeti la Habari Leo
Mpuuzi aliyemvisha mbwa bendera ya CHADEMA alitunukiwa uwaziri na msomi "profesa tezi dume"
CCM imeshindwa kwa asilimi 72.8
Kweli ni 72.8 - 30 za kupita bila kupingwa wanabakiwa na 42.8 ndio walizoshinda kwa kushindana.
Babu mbona una wahka na muhemko? mie nimeuliza swali sa uongo wangu uko wapi? soma hayo mashitaka ndio utaelewa swali langubendera ipi hiyo hata 400 haifiki acha uwongo
Ama kweli ukiwa msahaulifu usiwe MUONGO.Kwenye post yako moja umeandika unawachukia CHADEMA au Unakichukia CHADEMA,au alikuwa siyo wewe?
Ninaweza kuwa na ubongo wa samaki lakini mwenzangu unaubongo wa NZI.
Binti naona unalazimisha mume Wa kichaga kwa nguvu sasa. Onyesha hiyo post niliyotuma huku , halafu unaniuliza siyo wewe kumbe huna uhakika siyo.
Nimekudharau sana na kukuongezea jina kuwa ni Kitasa Wa chadema.
Tuliochoma bendera ni sisi, walipomkata tukawa tunajikusanya hapa polisi polisi usa-river walipoona tunazidi kuwa wengi wakataka wamuachie tukagoma tukataka apelekwe mahakamani ili tujue ana kosa gani ilihali sisi machalii ndo tulochoma bendera? akagoma kutoka polisi hadi akapelekwa mahakamani
Kuchoma bendera ni kosa kwa mujibu wa sharia gani? On a serious note, nataka nifahamu.
Halafu hakuna kabila la WACHAGGA.Pole sana ,sina shida na mume wa aina yoyote yule.Wajua vyema ulichokiandika ila unaona soni.
Halafu nikafanye nini kwa Mmarangu?Hata h
uyo mume ningekuwa na shida ningemfuata MACHAME kwetu basi.
Kama hakuna kabila la kichaga kuna nini sasa.
Tety bado binti Mdogo sana Wa miaka ya themanini unashabikia chadema ambao wenzako wanapiga maisha wakati wewe unalala Njaa. Mwanamke Wa kimachame siwezi oa hata siku moja mnaua wanaume wenye Mali ndanj.
Wewe unakipenda chadema kwasababu Mwenyekiti Wa chama ni mbowe mchaga mwenzetu nadhani. Angalia malengo ya chama siyo ukabila.
Maamuzi yako ya Leo ndio maisha yako ya kesho.
Usilolijua ni kama usiku wa kiza!Ungejua umri wangu kwanza ungejishangaa kwa kunidharau.
Kwa information Kilimanjaro kuna makabila yafuatayo:
1.Wamarangu
2.Warombo
3.Wamachame
4.Wakibosho
5.Wasiha
6.Wa Kirua
7.Wapare.
.
.
Hawa wote kaka yangu wanaongea lugha tofauti,wala hawasikilizani ndiyo maana hakuna kabila linaloitwa WACHAGGA.Upo?Kamuulize Babu yako atakujibu vyema.
Wenzio tumefanya history na tukafaulu vyema,tuliogopa kufundisha sababu ya mazingira tukaamua kuwa wahasibu.
Pole sana,hunijui,ni tafute nitakwambia mimi ni nani?Umri wangu ni miaka mingapi,nimezliwa lini na wapi.
Kwa sasa jua tu hakuna kabila linaitwa WACHAGGA.Mie mwenyewe siyo MCHAGGA bali ni MMACHAME upo?
Sina wala ukabila ninakipenda CHADEMA sababu ya SERA zake na utumishi wake kwa umma,kuwapa ELIMU watanzania kwenye masuala ya elimu ya URAIA