Na wamasai Wa ngabobo walimkosa kumtandika, tatizo nasary ni mkabila na mkanda.
Bendera za ccm zimeeka na kuchoka kama chama chao mpaka nyingine hazijulikani hata rangi yake ambapo inapelekea kuona kama ni uchafu unaostahili kuondolewa machoni pa watu na kuchomwa.
Yale Yale ningeleta hii thread Mimi bavicha wengi wangenitukana sana.
Lakini wataona jinsi mbunge wao alivyopwaya kwenye ubunge. Ni mzigo kwake inabidi mwakani wanameru wampunzishe , siasa za kuchoma bendera ni za chuki na machafuko kuleta.
Kuchoma bendera ni kosa Ila wafuasi wengi wa ccm wamechoma bendera za Chadema
Hakuna kitu hapo ina maana hawa mahakimu hawana kesi nyigine zenye tija za kufuatilia?
Hasira za dogo
wakati mwingine huwa namshangaa
Su ajabu machalii wamempandisha munkari naye akachoma kweli
- alitaka Vijana waende Ikulu kwa miguu kutoka Arumeru hadi Magogoni
- alitaka Nchi ya kaskazini tu ijitawale tena yenye mikoa mitatu tu
Tena Mwigulu alimvesha mbwa....
Sasa kama chama kinachochukuliwa kama mbadala kinafuata ya walikuwepo mabadiliko yamkuwa na uzito gani??!!!
Ila hajakuzidi wewe.Mwenye chuki na watu waliotofauti kiitikadi nawe.
Halafu ulishasema UNACHUKI ya dhati na CHADEMA,kwa hiyo chochote utakachozungumza kinatokana na chuki ya chama mtu aliko na si kosa lake.
Ningeshangaa sana we bwe..ge usingeigia ktk uzi huu mimi huwa unanikera sana huna cha kuongea zaidi ya Nassari yani kila siku ni huyo tu au wewe ni ke mlipanga muoane akakutosa.na ipo siku utasababisha nipigwe ban kijana gani hupendi mafanikio ya mwenzio
mkuu mbona povu limekutoka sana tulia dawa ikuingie vizuriMaendeleo yapi ninamuonea wivu nimesema hapa , mada ni kuchoma bendera ya chama changu cha Ccm na hapa umedhihirisha kuwa wewe ni KITASA.
nikiona hii bendera nasikia kinyaa
hizi hasira za kushindwa kwa ccm
Ujana unashida sana, badala ya kufanya mambo ya maana mtu unashitskiwa kwa mambo petty.
Nassari ukue!