Maembe, machungwa, ndizi haya yote ni Matunda. Wamachame, wakirua, warombo , wamarangu wote hawa wanaingia kundi moja tu Wachaga.
Suala la lahaja hapa lipo hivi anapoongea mmarangu na mkirua wanasikilizana vema sana Nami nafanya Nao kazi tunaelewana nakadhalika. Mmachame na mkibosho hawaelewani sana Bali kuna baadhi ya lahaja wanaingiliana kama umesoma historia vema kama hukukariri na kuwepo kwao Kilimanjaro.
Suala la kusema chadema unakipenda Sera zake kwa umma na elimu ya Uraia unapotosha umma Wa watanzania kwani Sera za chadema ni hizi:
1: vurugu
2: maandamano kupinga kila jambo.
3: kusapoti ushoga Wa mataifa ya ulaya kama ujerumani
4: kupandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao.
5: kuchochea migomo kila pahala haswa kwa wafanyakazi.
Wewe unaichukia sababu unakosa mahali pa kula.Wenye vurugu ni MACCM ambaya muda wote wanatumia polisi kudhoofisha upinanzanina haki za watu.
Issue ya USHOGA hakuna mtu anayesupport,bali ujue ni hulka ya bindamu kutaka kufanya kitu ambaco hata kama kimekatazwa atatak kujaribu.Issue ya USHOGA haikuanzia mataifa ya ULAYA bali imeanzia mashariki ya kati,na ukienda mbali zaidi kwa kwetu hapa sana nimaenea ya PWANI,na huwa sielewi kwanini yameanzia maendeo ya PWANI na si vijijini.Usijeukampamtu kesi wakati wa kumpa kesi unamjua lakini kwa sababu unampenda unamzushia mtu mwingine.
Kodi ya wanaosupport USHOGA hapa kwetu imekuwa inatumika na hata wewe mwenyewe kwa kujua au kutokujua.Unapopeleka kapu kuomba unadhani kodi ya shoga haipo?Hasa kwenye pesa za wafadhili?
Tena nafuu hawa wenzetu wameona ni vyema wakajulikana hawa mashoga na kutokea siku wakatafuta njia ya kuwaelimisha ili waache tabia hizo,hebu tujiangalie siye huku tunafisha eti hakuna mashoga wakati wamejaa tele wakumwaga hasa maeneo ya PWANI,tusiwe wepesi kuwanyooshea wengine vidole wakati vingi ya vidole hivi vyatuelekea.
kaka kua japo kidogo ili uwe sawa na UMRI wako.
Maandamani ni haki iliyondani ya katiba hivyo sioni kwanini CCM wakianadamana wao ni sawa lakini upinzani ni tatizo.Hebu ACHENI KUIBA MALI ZA UMMA,na MTUPE HAKI ZETU ZA MSINGI muone kama kuna mtu ataitisha maandamano.
Wewe kama serikali unashindwa kumlipa stahiki zake mfanyakazi halafu uankuja kuwalaumu CHADEMA?Hivi akili yako inafanya kazi vyema?Umeshindwa kulipa mfanyakazi wako wa shamba,bustani,ndani ,mlinzi hawa wamekugomea kufanya kazi mpaka kieleweke ,lawama unapeleka upinzani?Kweli zinakutosha wewe.Hiviuchungu wa kutolipwa anaomfanyakazi au mwanachama wa CHADEMA au VIONGOZI wake?
Ukiona hujui kitu uliza kaka usijekurupuka utachekwa.Wapeni haki wafanyakazi ,walimu,madaktari nk.Jiulize leo kwanini wale WAKAGUZI, na WAHASIBU hawagomi toka siku ya kwanza mpaka siku mikataba yao inaisha?
Kuna vitu kabla haujaandika jiulize mara zaidi ya kumi ujiridhishe.Haingii akilini nigome kufanya kazi sababu tu kufuata mkumbo,lazima niwe na sababu za msingi za kufanya hivyo,kama kutolipwa stahiki zangu nknk.