Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,595
- 123,105
Yale Yale ningeleta hii thread Mimi bavicha wengi wangenitukana sana.
Lakini wataona jinsi mbunge wao alivyopwaya kwenye ubunge. Ni mzigo kwake inabidi mwakani wanameru wampunzishe , siasa za kuchoma bendera ni za chuki na machafuko kuleta.
Ndugu yangu huwa una siasa za kitoto kweli, naamini ni kosa kuchoma bendera bila kujali nani kachoma kwani hali hii inaweza kuleta chuki na hatimaye machafuko. Hivi nikuulize kipi kilipaswa kuchukuliwa hatua kwa haraka na kupelekwa mahakamani? kukamata wale wote waliobeba hela kwenye rambo sakata la escrow ama kumpeleka aliyechoma bendera mahakamani mara moja? Ukiweza kunijibu nitakuuliza swali lingine ili ujue kama kweli wewe una siasa za maendeleo au za ushabiki wa kitoto.